Mwana wa Alhaj Swallehe Msuya, Rahim,   na Shufaa Ali Mazrui wa mjini Tanga wammeremeta siku ya Jumamosi tarehe 21/3/2009. Rahim anatafuta nondozzz za  Uhasibu na Shufaa anakula nondozzz za utawala.
 
Asante,
Swallehe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Wanja huo aunt,bi harusi mbona umenuna?na hiyo ndio siku yako.vigeregere kidogo,rururururururu.habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  2. Hivi Raheem ni mtoto was yule Msuya wa Minnesota, na huyo Shufaa ni binti wa Prof. Mazrui wa Binghampton, NY?

    ReplyDelete
  3. JAMANI BI HARUSI ANANINI MIKONONI HIVYO NINAVYOVIONA NI TATUU AMA HINA?
    JAMANI YANINI KUMHARIBU DADA WA WATU KAMA ALIYEMFANYIA MAPAMBO SI MZOEFU
    HATA NINGEKUWA MIMI NISINGEFURAHI AU ALIYEMPAMBA ALIKUWA AKIMUONEA GERE???

    ReplyDelete
  4. Huyu Mtoto wa Radhia Msuya?

    ReplyDelete
  5. haruuuuuuu.. mwanamke hina dada shurti mpaka mabegani, ila makeup ipo too light kidogo na colour ya skin yako( ushauri wa bure) nawatakieni maisha mema katika ndoa yenu mungu awalinde na kuwaongoza daima

    ReplyDelete
  6. MMEPENDEZA SANA MAHARUSI,SHUFAA UMEPENDEZA SANA MDOGO WANGU,NAWATAKIA MAISHA MEMA NI MIMI DADA YAKO BINTI UBBA USSA.

    ReplyDelete
  7. Tai ya mshikaji ina matege....

    ReplyDelete
  8. @ anon 10:19

    LOL!, LOL!, very funny!,

    Tattoo? looks like that...she needed a long sleeves dress.

    ReplyDelete
  9. Mumependeza sana.

    Lakini smile says a lot, come on people it was your daaay!

    Bi harusi you're qute.
    Bwana harusi you're very handsome.

    ReplyDelete
  10. Ann,April,3,2:41 am, Umenichekesha sana Tai ina nini?? U pipo are so funny.

    ReplyDelete
  11. mdau 10:19 hiyo siyo tatuu, inaitwa piko. ni sehemu ya mapambo ya bi harusi kwa huku pwani.
    mdau chiggs

    ReplyDelete
  12. Tuwekee picha ya Baba Arusi tumjue maana zamani nilipenda kipindi chake cha 'kitabu nilichosoma'. cha RTD. Pia muulize kwa nini alicha kutuletea kipindi hicho cha mapitio ya machapisho au hasomi tena vitabu?

    ReplyDelete
  13. Bi harusi anaogopa vita ya masaa machache baada ya hapo!!!
    Pole ndo ukubwa, utazoea na utatamani mmeo asisafiri. All the best mmependeza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...