Hi bro mambo vp. 
Nakutumia picha hiyo ya mji wa mwanza unavyo 
onekana kwa sasa, kama vp washirikishe wadau.
  Cheers.
 GLOBAL RUBBER  TANZANIA.
GEITA – MWANZA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Kama Dar tu sasa, safi sana!

    ReplyDelete
  2. NAPENDA MWANZA KUZIDI DAR
    1. MWANZA PANAHEWA SAFI SIO DAR WINGI WA PORUSHENI NA JOTO KALI
    2. MWANZA KUNAPESA SIO DAR WIZI MTUPU WATU
    3. MWANZA HAKUNA MAFURIKO KAMA DAR
    4. UKIFANYA BIASHARA UTAPATA CASH YAKO NA SIO DAR WATU HAWANAPESA WATAKUTAPELI TU NA KUANZA KUKULIPA KIDOGOKIDOGO
    5. DAR USWAHILI MWINGI KULINGANA NA UGUMU WA MAISHA
    6. UKITEMBEA DAR NIKUPINGWA VIRUNGU KILA KONA MARA NINUNULIE VITAFUNIO, MARA AFADHARI NIMEKUONA NITAKUNYWA SODA
    7. BAADA YA MIAKA 50 IJAYO JIJI LA DAR IMESEMEKANA LITAMEZWA NA BAHARI KURINGANA NA UCHAFU WA MAZINGIRA
    MWANZA KWA SASA NDIYO HOPE LAND

    ReplyDelete
  3. huu mji utafika mbali sana!! sababu una re-sources karibu zote na umejengwa pazuri sana na pia nafikiri kati ya miji yote Bongo strategically uko pazuri sana - umezungukwa na miji mikuu ya nchi karibu 3 za Afrika mashariki na kati, ziwa victoria, migodi, you name it!

    Asante mdau kwa picha.

    ReplyDelete
  4. ntakutolaga bebe,

    ReplyDelete
  5. wewe mambo yote dar,ukikaa mkoani unakua wakuja tuu.,dar balaa bwana akili kumkichwa.period

    ReplyDelete
  6. ndio mana "tumewekeza mwanza"
    wewe annon unaesema dar ndo maisha na mkoa ushamba ngoja uone baada ya miaka kadhaa,ushamba ni mtu binafsi ila wenye MALENGO YAO wanajua nini wanafanya,mtakutafuta mkoani!
    wajanja wooote weshajua wapi pa kuwekeza
    dar ni matembezi tu/utalii na vijisent vyetu

    mwanza SAFI SANA,

    sawa wee mtoto mdogo??

    ReplyDelete
  7. Aisee mnariona ribuganddooo? Chaa...
    Huko ndiko kwenyeweee wewee..
    (soma na accent ya kisukuma utaelewa msukuma namaanisha nini)
    ...

    ReplyDelete
  8. BUGANDO JUUUUUUUU!!

    ila now kuna mushrooms za magorofa vikwangua anga za ppf/nssf hotels za kufa mtu
    kuna viwanja vya kumwaga

    wanajitaidi kwa kweli,tumekuja kuwasaidia kuchangamsha "big village"

    ReplyDelete
  9. Ukifika mwanza hutakuta magari wala majengo ya kiserikali kama Dar,ni jiji linalo simama lenyewe kwa nguvu zake, that's why is the truly commercial city of Tanzania.

    ReplyDelete
  10. Asanteni sana wadau kwa maoni yenu,kinachotakiwa kifanyike tukaribishe wageni waje wayoene maendeleo.

    ReplyDelete
  11. Asante mdau wa Geita uliyepiga picha hii,vipi barabara ya Kamanga-Sengerema?

    ReplyDelete
  12. Mwanza mji mzuri sana, hakuna joto la kukithiri hali ya hewa inaenda na miongo yake ya mwaka a.k.a majira, pasafi barabara zinapendeza sana, nafasi za kumiliki ardhi za kumwaga na bei bado za kueleweka sio dar bei za kubwatuka tu wizi mtupu wa mafisadi. Mji unajengeka kwa kasi sana hongere mdau uliyeweka hii picha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...