Home
Unlabelled
rock city
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama Dar tu sasa, safi sana!
ReplyDeleteNAPENDA MWANZA KUZIDI DAR
ReplyDelete1. MWANZA PANAHEWA SAFI SIO DAR WINGI WA PORUSHENI NA JOTO KALI
2. MWANZA KUNAPESA SIO DAR WIZI MTUPU WATU
3. MWANZA HAKUNA MAFURIKO KAMA DAR
4. UKIFANYA BIASHARA UTAPATA CASH YAKO NA SIO DAR WATU HAWANAPESA WATAKUTAPELI TU NA KUANZA KUKULIPA KIDOGOKIDOGO
5. DAR USWAHILI MWINGI KULINGANA NA UGUMU WA MAISHA
6. UKITEMBEA DAR NIKUPINGWA VIRUNGU KILA KONA MARA NINUNULIE VITAFUNIO, MARA AFADHARI NIMEKUONA NITAKUNYWA SODA
7. BAADA YA MIAKA 50 IJAYO JIJI LA DAR IMESEMEKANA LITAMEZWA NA BAHARI KURINGANA NA UCHAFU WA MAZINGIRA
MWANZA KWA SASA NDIYO HOPE LAND
huu mji utafika mbali sana!! sababu una re-sources karibu zote na umejengwa pazuri sana na pia nafikiri kati ya miji yote Bongo strategically uko pazuri sana - umezungukwa na miji mikuu ya nchi karibu 3 za Afrika mashariki na kati, ziwa victoria, migodi, you name it!
ReplyDeleteAsante mdau kwa picha.
ntakutolaga bebe,
ReplyDeletewewe mambo yote dar,ukikaa mkoani unakua wakuja tuu.,dar balaa bwana akili kumkichwa.period
ReplyDeletendio mana "tumewekeza mwanza"
ReplyDeletewewe annon unaesema dar ndo maisha na mkoa ushamba ngoja uone baada ya miaka kadhaa,ushamba ni mtu binafsi ila wenye MALENGO YAO wanajua nini wanafanya,mtakutafuta mkoani!
wajanja wooote weshajua wapi pa kuwekeza
dar ni matembezi tu/utalii na vijisent vyetu
mwanza SAFI SANA,
sawa wee mtoto mdogo??
Aisee mnariona ribuganddooo? Chaa...
ReplyDeleteHuko ndiko kwenyeweee wewee..
(soma na accent ya kisukuma utaelewa msukuma namaanisha nini)
...
BUGANDO JUUUUUUUU!!
ReplyDeleteila now kuna mushrooms za magorofa vikwangua anga za ppf/nssf hotels za kufa mtu
kuna viwanja vya kumwaga
wanajitaidi kwa kweli,tumekuja kuwasaidia kuchangamsha "big village"
Ukifika mwanza hutakuta magari wala majengo ya kiserikali kama Dar,ni jiji linalo simama lenyewe kwa nguvu zake, that's why is the truly commercial city of Tanzania.
ReplyDeleteAsanteni sana wadau kwa maoni yenu,kinachotakiwa kifanyike tukaribishe wageni waje wayoene maendeleo.
ReplyDeleteAsante mdau wa Geita uliyepiga picha hii,vipi barabara ya Kamanga-Sengerema?
ReplyDeleteMwanza mji mzuri sana, hakuna joto la kukithiri hali ya hewa inaenda na miongo yake ya mwaka a.k.a majira, pasafi barabara zinapendeza sana, nafasi za kumiliki ardhi za kumwaga na bei bado za kueleweka sio dar bei za kubwatuka tu wizi mtupu wa mafisadi. Mji unajengeka kwa kasi sana hongere mdau uliyeweka hii picha
ReplyDelete