Halo bro Michuzi ,
kama kawaida yetu wadau wa Chuo kikuu cha Tumaini kampasi ya Makumiratupo kwenye maadalizi makubwa ya kwenda Ngorongoro kucheki vivutio vyetu tunakukuribisha twende wote
Mdau Meshack c.Maganga
Tumaini University
Makumira University collegeFaculty
of Humanities and social science

ARUSHA

TANZANIA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. watu hawapendi nondoz ndo maana hamna komenti hapa, wanapenda kahawa kama za magazeti ya kila siku.

    ReplyDelete
  2. wadau wa Makumira ninawatakia maandalizi mema ,Asante mdau MESHACK MAGANGA KWA BIDII ZAKO ZA KUHAMASISHA WANAFUNZI WENZAKO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...