Home
Unlabelled
libeneke la kip-left ya twin tawazzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hongera sana kwa kupigia kelele hilo tatizo sisi hatutaki huo urembo wao tunataka pazibwe!!!!!
ReplyDeletemdau
Nkya
a-town
Balozi,hiyo ni sawa wakomalie mpaka waizindue manake inaboa ile mbaya..hapo mwanzo kabla ya hizo hazard mark jamaa yangu ilibidi apeleke Wheel alignment sababu ya hapo...Mbungee wa niniii juuu zaidi.
ReplyDeleteNa kweli karibu itafunguliwa maana naona na askari kawekwa tayari kulinda.
ReplyDeleteThis really shows the power of the pen. Usichoke kuwasakama mhe. balozi na mkuu wa wilaya ya nanihii... Tunaona matokea yake! Hongera sana!!!
LIUMBA-keep left
ReplyDeleteTeheee heee heeee. Tuone kama kweli Watanzania hawana aibu.
ReplyDeleteJK anasafari ya nje,Watahairisha uzinduzi TUPINGE KAMAUNABISHA au TUWEKE DAU.
ReplyDelete