Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. I like this. Big up to the person who made it. We need more. Spread the message....

    mtoto

    ReplyDelete
  2. bongo hiyooooooo freee speech muhimu....lakini hao wanaovaaa hizo t-shirts kweli wao wanalipa kodi

    kodi ni kwa kila mtu sio wanaofanya kazi ofisini tu...hivi weee michuzi unatakiwa ulipie kodi hii blog.....do you?

    ReplyDelete
  3. Creative indeed!!!That's where all our taxes should go to; we need better Education, strong infrastructure, modern hospitals plus improvements to other significant sectors.

    ..A Proud Tanzanian

    ReplyDelete
  4. Hawa ni HakiElimu Tanzania,nawafagilia sana hawa jamaa kwa kazi yao nzuri...sema tu serikali yetu haitaki kabisa kusikia na kuna kipindi waliifungia eti inaharibu jamiii..Yaani ipo siku lakini serikali itakubaliana na kazi za hawa washikaji..WAPO FITI SANA

    ReplyDelete
  5. Duu!!hii imekaa vizuri kweli...wapashe hao wanaonunua mashangingi na kodi za walala njaa,hawana aibu kweli..safi nakupa big up kwa ubunifu

    ReplyDelete
  6. Naweza kupata wapi fulana kama hiyo? Nataka kununua moja nami nivae.

    ReplyDelete
  7. Haa jamani hongereni sana HAKIELIMU kwa ujumbe mzito huu lakini je walengwa wanasoma? Wanasikia? Nakumbuka enzi za HAKIELIMU ya kina Rakesh, Mary Msemwa,Japhet Makongo, Lillian Kallaghe na Godfrey Teli, mlifanya kazi kubwa sana kutoa ujumbe huu na matangazo ya luninga! Mko wapi sasa??

    ReplyDelete
  8. Mdau hapo huu..wapo wamejaa tele..tena bado wasonga mbele kwa nguvu zote...Team ipo kamili sasa chini ya Bi.Missokia na kina rakesh...Tshirt zipo nafikiri ukiulizia Hakielimu waweza kukupatia....Yaani bado inatoa maujumbe ya nguvu..nakumbuka tangazo lao moja la Lugha ya Kufundishia....

    ReplyDelete
  9. Nafurahi sana kuna ujumbe huu bado unaishi na uendelea kuenezwa. Hongera kwa Michuzi na wadau wengine. Changamoto ni kwamba wadau wengine na jamii kwa ujumla tnaungaje mkono juhudi hizo kwa kutoa jumbe nyingine nyingi kama hizo na matangazo ya redio na luninga? Mapambano bado yanaendelea!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...