Mh. Profesa Mark Mwandosya akitembelea maporomoko ya Malamba wilayani Rungwe ambayo ni mojawapo ya vivutio kibao vya utalii mkoani Mbeya. Chini ni milima ya Livingstone iliyozunguka mkoa huo na kuleta taswira aali kwa watembeleaji wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Sikujua Rungwe kunaweza kufaa kwa utalii, kila waziri anayekuja anaangalia vivutio vya siku zote kama serengeti, ngorongoro, manyara, mlima kili n.k hakuna anayekuja na ubunifu wa vitu vipya na inawezekana kuna mengi mikoa mingine! kweli bongo tumelala. Tusiwalaumu Kenya maana waswahili husema ukimwamsha aliyelala.......

    ReplyDelete
  2. Ahsante Mh.Mark Mwandosya kwa picha yenye kutoa maelezo zaidi ya alfu.

    Kwa kuongezea ya 1001, je Prof, hayo maporomoko hatuwezi kupata megawati chache za umeme? na mapato yake kuzidi kufanya pahala hapo pawe na utalii, mazingira endelevu, ajira kwa wakazi na umeme wa ziada kuuzwa Tanesco?
    Mdau
    Maeneo Tambarale.

    ReplyDelete
  3. Kwetu kuzuri kweli. Naona ujiko kweli kutoka Rungwe

    ReplyDelete
  4. mwe akaja kanunu itataa!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Anon April 07, 2009 12:55 PM, swali hili ni zuri sana tena ukizingatia Prof. ni mtaalam wa umeme. (Electrical engineer) i wish angekuwa anaweza kujibi hili swali hapa au hata sehemu nyingine wadau wa globu ya jamii tukapata jibu lake. Asante mchangiaji wa pili.

    ReplyDelete
  6. BIG UP MWANDSOYA. HAYO NDIYO TUNAYOTAKA KUONA. SIYO KILA SIKU ALI KIBA, ALI KIBA MWISHO WATU WATAMALIZIA...ALI KIBAKA

    ReplyDelete
  7. I am proud to be a Tanzanian,but to originate from Rungwe i real feel the God's favour to me....mpaghanile fijho pakajha bhaghwitu......
    By mdau MBIJE,ANDENDEKISYE-KAFANABO.....Kutoka Makandana-TUKUYU-RUNGWE-MBEYA

    ReplyDelete
  8. Ahsante sana Prof Mwandosya kwa kuonyesha this alpine scenario ambayo wengi hawajawahi kuiona.

    ReplyDelete
  9. KAMA UNA RAFIKI YAKO TOKA NJE YAA BONGO UNATAKA KUMPELEKA BONGO, HUKO NDIKO MAHALI PAKE MZEE. HAPO MZEE UMENIKUNA KWANI HIYO MANDHARI NI ADIMU SANA KUIPATA NCHI ILIYOJAA WAHUNI KUANZIA NGAZI YA JUU HADI CHINI.
    HAPO SIONI KARATASI WALA MFUKO WA RAMBO ULIOJAA MAVI. SHWAINI. HAYO NDIYO MAMBO YA TASWIRA. HIVI NI MBUGA AU NI ENEO TU LINALOZUBAAA ZUBAA MANAKE NCHI INA UCHUMI LAKINI WATU WANAUKALIA NA KUUJAMBIA

    ReplyDelete
  10. HIYO PICHA YA JUU NA CHINI NIMEZITUMIA KWENYE LAPTOP YANGU. MOJA BACKGROUND NA NYINGINE SCREEN SAVER. MJOMBA KAMA WATU WA MICROSOFT WANGEIONA, NADHANI WANGETUMIA KWENYE SYSTEM MPYA WATAKAYOTOA....BALAAAAA. WELL DONE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...