geti la mkahawa wa vitabu maeneo ya regent estate dar ambapo wadau toka taasisi mbalimbali za elimu hukaribishwa kujisomea na kubadilishana mawazo ya kimaendeleo
mbunge wa kigoma mashariki mh. zitto kabwe akifafanua mambo kuhusu mikataba ya madini ikiwa ni hafla iliyoandaliwa na mkahawa wa vitabu siku ya Karume Day jijini Dar jana jioni
mh. zitto kabwe akijiandaa kutoa mada yake kuhusu mikataba ya madini. mada hiyo ilikuwa aitoe wikiendi ilopita katika mdahalo maalum wa wadau wa madini na wasomi wa chuo kikuu cha mzumbe university morogoro lakini kwa bahati mbaya hakuweza kufanya hivyo kwa kile kilichosemekana kwamba uongozi wa chuo hicho ulikataa kuwa na mdahalo huo kama yeye atakuwepo.
mwanazuoni akichangia mada kwenye mdahalo huo
juu na chini ni wadau mbalimbali waliokutana siku ya Karume Day katika mkahawa wa vitabu kujadili masuala ya madini. hapo wanaangalia filamu fupi iliyohusu matatizo katika migodi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Wamemchomolea atawafundisha UFISADI wanafunzi mapema.

    ReplyDelete
  2. Naomba kunukuu maneno hapo juu:

    ---

    uongozi wa chuo hicho [cha Mzumbe University] ulikataa kuwa na mdahalo huo kama yeye atakuwepo.

    ---

    Swali, Je ni kwa nini Chuo kinamuogopa Zitto Kabwe?

    ReplyDelete
  3. mtoa coment wa kwanza akili yako ni ya mbuzi kabisa unakuruouka tu kutoa maoni bila hata kujuwa undani.

    ReplyDelete
  4. Mh Zitto,
    We need your ideas on how to tackle poverty in the country instead of this nonsense of fisadi huyu fisadi yule. This is what we need to focus on, bring investors, find ways to help ordinary Tanzanians, promote graduate schemes etc etc. Lets prioritise issues. Michuzi nikija bongo tutakaa chini nikupe data...!!

    ReplyDelete
  5. ndio bongo hiyo vyuo vinatumika kuwapinga wapinzani!!!

    wakati huo huo chama tawala kinakubaliwa kufanya "recruitment" chuoni.........

    ReplyDelete
  6. Wakuu wa Chuo waliatikiwa wamruhusu Zitto awepo na wao pia wawepo kwenye mdahala. Ilitaikiwa iwepo nguvu ya hoja na watu waelemishina!
    Wakuu wachuo inawapasa wajifunze!!!! Wamatia aibu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...