
geti la mkahawa wa vitabu maeneo ya regent estate dar ambapo wadau toka taasisi mbalimbali za elimu hukaribishwa kujisomea na kubadilishana mawazo ya kimaendeleo

mbunge wa kigoma mashariki mh. zitto kabwe akifafanua mambo kuhusu mikataba ya madini ikiwa ni hafla iliyoandaliwa na mkahawa wa vitabu siku ya Karume Day jijini Dar jana jioni

mh. zitto kabwe akijiandaa kutoa mada yake kuhusu mikataba ya madini. mada hiyo ilikuwa aitoe wikiendi ilopita katika mdahalo maalum wa wadau wa madini na wasomi wa chuo kikuu cha mzumbe university morogoro lakini kwa bahati mbaya hakuweza kufanya hivyo kwa kile kilichosemekana kwamba uongozi wa chuo hicho ulikataa kuwa na mdahalo huo kama yeye atakuwepo.

mwanazuoni akichangia mada kwenye mdahalo huo

juu na chini ni wadau mbalimbali waliokutana siku ya Karume Day katika mkahawa wa vitabu kujadili masuala ya madini. hapo wanaangalia filamu fupi iliyohusu matatizo katika migodi

Wamemchomolea atawafundisha UFISADI wanafunzi mapema.
ReplyDeleteNaomba kunukuu maneno hapo juu:
ReplyDelete---
uongozi wa chuo hicho [cha Mzumbe University] ulikataa kuwa na mdahalo huo kama yeye atakuwepo.
---
Swali, Je ni kwa nini Chuo kinamuogopa Zitto Kabwe?
mtoa coment wa kwanza akili yako ni ya mbuzi kabisa unakuruouka tu kutoa maoni bila hata kujuwa undani.
ReplyDeleteMh Zitto,
ReplyDeleteWe need your ideas on how to tackle poverty in the country instead of this nonsense of fisadi huyu fisadi yule. This is what we need to focus on, bring investors, find ways to help ordinary Tanzanians, promote graduate schemes etc etc. Lets prioritise issues. Michuzi nikija bongo tutakaa chini nikupe data...!!
ndio bongo hiyo vyuo vinatumika kuwapinga wapinzani!!!
ReplyDeletewakati huo huo chama tawala kinakubaliwa kufanya "recruitment" chuoni.........
Wakuu wa Chuo waliatikiwa wamruhusu Zitto awepo na wao pia wawepo kwenye mdahala. Ilitaikiwa iwepo nguvu ya hoja na watu waelemishina!
ReplyDeleteWakuu wachuo inawapasa wajifunze!!!! Wamatia aibu