mbunge wa sumve mh. richard ndassa akimpongeza mwimbaji na mtunzi hodari wa mlimani park orchestra kalama regesu kwa kushinda tuzo ya utunzi bora katika kili music awards 2009 katika ukumbi wa ddc kariakoo dar usiku wa pasaka
mbunge wa kinondoni mh. iddi azan (kulia) akikabidhiwa tuzo ya utunzi bora na  kiongozi wa wana sikinde shaaban dede  mwanamuziki wao karama regesu (kati) kutwaa tuzo hiyo
mh. richard ndassa akiimwagia sifa sikinde ngoma ya ukae kwa kuendeleza libeneke
wapenzi wa sikinde wakiselebuka wakati wa pasaka ddc kariakoo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. FULANAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZZ.

    ReplyDelete
  2. hivi bado ddc kariakoo imeezekwa asbestos! kama kumbukumbu yangu ni nzuri, asbestos inaleta kansa! kama ndivyo basi, ndugu zangu wana nginde ni vema afya zao zika-chekiwa. kuna baadhi yao wametumbuiza kwa miaka kibao hapo ddc kariakoo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...