
mbunge wa sumve mh. richard ndassa akimpongeza mwimbaji na mtunzi hodari wa mlimani park orchestra kalama regesu kwa kushinda tuzo ya utunzi bora katika kili music awards 2009 katika ukumbi wa ddc kariakoo dar usiku wa pasaka

mbunge wa kinondoni mh. iddi azan (kulia) akikabidhiwa tuzo ya utunzi bora na kiongozi wa wana sikinde shaaban dede mwanamuziki wao karama regesu (kati) kutwaa tuzo hiyo

mh. richard ndassa akiimwagia sifa sikinde ngoma ya ukae kwa kuendeleza libeneke

wapenzi wa sikinde wakiselebuka wakati wa pasaka ddc kariakoo


FULANAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZZ.
ReplyDeletehivi bado ddc kariakoo imeezekwa asbestos! kama kumbukumbu yangu ni nzuri, asbestos inaleta kansa! kama ndivyo basi, ndugu zangu wana nginde ni vema afya zao zika-chekiwa. kuna baadhi yao wametumbuiza kwa miaka kibao hapo ddc kariakoo!
ReplyDelete