Home
Unlabelled
wiki ya tatu: kip-lefti yetu bado kufunguliwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK ana habari? Check ratiba yake kwanza. Si ajabu ikachukua muda mrefu kufungua hiyo kip-lefti maana jiwe la ufunguzi halijakamilika, naona utepe tu. Je mkasi wa kukatia utepe upo au atatumia kisu siku hiyo???
ReplyDeleteTungewekeza kwenye uongozi wa jiji sasahivi mambo yangekua byeee.Iyo ni kazi ya siku mbili tuu.
ReplyDeleteKweli ni kazi ya hata siku moja tu au saa chache. Lakini si mmekwisha wahi kusikia benki zikiibiwa mapesa kwa kuchimba mahandaki ya chini kwa chini hadi jamaa wanaibukia strong room. Sasa keep left gani hiyo jamani ya wiki tatu. Hapo inawezekana shughuli inayoendelea ni nzito zaidi na siyo ya keep left. Tanzania siku hizi ujanja umezidi umeingia mpaka makanisani- utapeli wa Ponzi schemes wa karne ya 19 viongozi wa kanisa wa karne ya 21 wanatuambia ohh sijui maono sijui upako. Hapo wanaglobu ya jamii msishangae tukiambiwa baadae kwamaba jamaa walikuwa wanachimba handaki na wameondoka na mabilioni!!! Saa hizi tunasema Keep Left, kumbe Handaki Left!
ReplyDelete