mkurugenzi wa african stars entertainment asha 
baraka aongelea uzinduzi wa albamu mpya ya bendi 
ya vibration sound (zamani chipolopolo) katika
 viwanja vya leaders club  jumapili hii. kiingilio
 ni bure na sikinde watakuwepo kusindikiza uzinduzi huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2009

    AMNAKITU HAPO

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2009

    Kuna mtu yoyote anajua wapi naweza kupata nyimbo za vibration sound online? Thanx......

    ReplyDelete
  3. Mheshimiwa michuzi, kwa nini usituletee habari za mabomu huko nyumbani?..sisi tuliopo nje ya nchi tuna wasiwasi sana na hali hii ya milipuko na tunataka kujua nini kinaendelea na wewe na wenzako badala ya kutuletea hii Breaking News unaendekeza mambo ambayo hayana maana, dont be an idiot men.....weka hata links za video tuone what is going on, Kenya wanacover hizi nyuzi kuliko hata nyumbani, si aibu hii jamani !!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2009

    na wewe jp kwani michuzi ndio alikwambia ukimbie kwenu? tumechoka na mapambio ya nje ya nchi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2009

    We JP si uendelee kuangalia vyombo vya huko Kenya.

    Unamlazimisha Michuzi akuonyeshe matukio ya Mbagala,kwani unamlipa

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2009

    weeee jp, badala ya kupiga boksi unakaa kuulizia mabomu! rudi uje uangalie mwenyewe usisumbue watu.inaonekena unafagilia wakenya waulize basi watakueleza.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2009

    Lakini JP ubabe wa kumtukana mkuu wa wilaya umeupata wapi? Acha ushamba wako. Kila kitu cha nje unaona deal kuliko cha home. Hata hapa home umeshaanza kufagilia Kenya. Kakae huko huko usituharibie pozi hapa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2009

    Katika Binadamu ninao waheshimu huko home huyu mama nia mmojawapo japo simjui wala hanijui lakini kazi yake ni bog sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...