mkurugenzi wa african stars entertainment asha
baraka aongelea uzinduzi wa albamu mpya ya bendi
ya vibration sound (zamani chipolopolo) katika
viwanja vya leaders club jumapili hii. kiingilio
ni bure na sikinde watakuwepo kusindikiza uzinduzi huo
AMNAKITU HAPO
ReplyDeleteKuna mtu yoyote anajua wapi naweza kupata nyimbo za vibration sound online? Thanx......
ReplyDeleteMheshimiwa michuzi, kwa nini usituletee habari za mabomu huko nyumbani?..sisi tuliopo nje ya nchi tuna wasiwasi sana na hali hii ya milipuko na tunataka kujua nini kinaendelea na wewe na wenzako badala ya kutuletea hii Breaking News unaendekeza mambo ambayo hayana maana, dont be an idiot men.....weka hata links za video tuone what is going on, Kenya wanacover hizi nyuzi kuliko hata nyumbani, si aibu hii jamani !!!
ReplyDeletena wewe jp kwani michuzi ndio alikwambia ukimbie kwenu? tumechoka na mapambio ya nje ya nchi.
ReplyDeleteWe JP si uendelee kuangalia vyombo vya huko Kenya.
ReplyDeleteUnamlazimisha Michuzi akuonyeshe matukio ya Mbagala,kwani unamlipa
weeee jp, badala ya kupiga boksi unakaa kuulizia mabomu! rudi uje uangalie mwenyewe usisumbue watu.inaonekena unafagilia wakenya waulize basi watakueleza.
ReplyDeleteLakini JP ubabe wa kumtukana mkuu wa wilaya umeupata wapi? Acha ushamba wako. Kila kitu cha nje unaona deal kuliko cha home. Hata hapa home umeshaanza kufagilia Kenya. Kakae huko huko usituharibie pozi hapa.
ReplyDeleteKatika Binadamu ninao waheshimu huko home huyu mama nia mmojawapo japo simjui wala hanijui lakini kazi yake ni bog sana
ReplyDelete