mambo yalivyo usiku huu kabla ya gemu kwa mujibu wa mdau wa photo point ambaye yuko huko kushuhudia gemu laivu.


BARCELONA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA UEFA KWA KUITANDIKA BILA HURUMA MANCHESTER UNITED BAO 2-0 HUKO ROME USIKU HUU.




MABAO YA ET'OO NA MESSI NDIO YALIYOKATA KILOMOLOMO CHA MASHETANI HAO WEKUNDU AMBAO KAMA WANGESHINDA INGEKUWA KELELE MWAKA MZIMA.




POLENI MAN YUU.......

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2009

    MICHUZI WE MJINGA KWELI!!UMEONA HIYO NDIO NEWS YA KUTUWEKEA.KWANI NAI HAJUI!!WEKA NEWZ ZA MAANA ACHA UJINGA..

    ReplyDelete
  2. Baba UbayaMay 27, 2009

    ball don't lie.Barca was the best 2nite.yani just simple,the best team won.ila Man Utd had their chances thou.could have gone either way.

    "Liverpool Milele"

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2009

    Michuzi,
    Kabla ya kupost hii umejiiimarisha lakini? Maana yeboyebo wa man u watakuloga japo umesema ukweli. Mungu mkubwa (Allah is Great) watu tusingekunywa maji. Man U rudini nyumbani kucheza chandimu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2009

    Mabao yenye huruma ni 3-1
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2009

    Hizo bia kweli zilikuwa zinapita kooni? Haya ndio mambo ya kukoka moto kabla hujamkamata ndege. Siku nyingine Man U msubiri kushinda ndipo muanze sherehe.

    ReplyDelete
  6. n'importes Quoi!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2009

    Nina hakika nitapata usingizi,Manake ingekua baraha.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2009

    Poleni ndugu zangu wa Man U japo bora lililotegemewa limedhihiri. Mliambiwa hamna uwezo wa kuwadhibiti Eto'o, Messi na Henry mkabisha. Haya tena, wawili kati ya watatu wamewaua. Shukuruni Henry alileta narenare kipindi cha pili kutaka kumpiga tobo Van de Saar anapofunga vinginevyo ingekuwa kilio zaidi.
    Wanaodai Ronaldo ni zaidi ya Messi kwa vile Messi alikuwa hajafunga goli kwenye fainali ya Champs League tungeni visingizio vingine.
    Phiri na Maximo walitabiri Man U itashinda. Namna gani tena hapo...

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 28, 2009

    Man u huwa wanabahatisha sana finali. 1999 walibahatisha dakika za mwisho, 2008 pia penalt. EPL wanabebwa kama vichanga vile.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 28, 2009

    mhh ndio leo naona Michuzi kaweka habari za timu ya Hispania. waliotabiri Man U watashinda hawaangalii la liga hao, wenyewe tulishajua kitambo kwamba leo Man U watalia. mimi kilichonipendeza ni kumzima mzee mzima SAF, wakati Barca wanajipanga na mechi, yeye na kambi yake ilikuwa ni kuchonga tu, kumbuka wakati anaongea na waandishi wa habari akawa anaanza kuongelea habari za kwamba Man U is better than Real Madrid, wapi na wapi, kucheza wacheze na Barca yeye analeta chuki zake dhidi ya Real Madrid, ndio kusema akawa anaiandaa timu yake kucheza na Real Madrid wakati fainali ni dhidi ya Barca, pia Evra badala ya kutulia na mechi yeye akawa anatoa mwaliko kwa Cesc kwamba wakitaka kuzipiga basi waalikane ukumbini ambako hakuna kadi nyekundu, ilikuwa ni kuchonga kwa kwenda mbele. Man U wakumbuke ule ni mpira wa Spain, kule hakuna mind games, ni ufundi zaidi!!

    ReplyDelete
  11. Las felicitaciones FC Barecelona para proporcionar una derrota maravillosa. ¡Usted es los campeones!!! Nosotros le saludamos, a todos mis amigos permítanos chamgagne pop ahora. es nuestro año, nosotros progresamos para ganar esto.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 28, 2009

    shenzi time kimya sasa mumefundishwa mpira fainal ya upande mmoja nani zaidi ronaldo na messi sasa

    ReplyDelete
  13. duu imekuwaJE hata sibabu hamuna maneno mengi kwenye magazeti mpira uwanjani na mumshukuru yule kizee wanu pale golini mungekula 5 inauma wakulaumiwa messi

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 28, 2009

    Afadhali Liverpool wangeingia fainali, mechi ingenoga.
    Hata hivyo nimefurahi sana hawa kunyamazishwa maana wana kelele sana,
    sichoki kuangalia video yao wakifundishwa soka kwenye website ya Nifahamishe.com

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 28, 2009

    HAYA WAMESHAANZA TENA, LEO IMEKUWA NEWS ISIYOKUWA NA MAANA. REFER ANON. WA KWANZA. TEH TEH TEH, KWELI INAUMA KUCHABANGWA TENA KWENYE FAINALI......! POLE ANON. WA KWANZA NDO UKUBWA HUO NA USHINDANI NDO HIVYO, LAZIMA KUNA MSHANDI NA ALEISHINDWA.
    Hata usipokubali habari na matokeo ndo hayo.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 28, 2009

    Nashangaa kusikia liverpool wanaongea wakati nusu fainali wamefungwa goli 7-4 na chelsea. mwaka huu mmecheza vikombe 3 na ligi lkn hamna hata kikombe mlichofika hata fainali na ligi mmeambulikuwa wa2 sasa mnaubora gani? man ana vikombe v3 ndani na ubingwa wa ligi juu sasa hamuoni kama nyinyi ni cha mtoto tu. afadhali hata mjomba wako chelsea jmosi anacheza fainali ya fa nyinyi na arsenal ni kama pipa na mfuniko msubili misimu mipya mjaribu bahati zenu.
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 28, 2009

    Jana ndio nimejua kuwa mashabiki wa Man U wako wengi Dar, kwani mji mzima ulikuwa kimyaa!Kama siku ya mabomu mbagala

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 28, 2009

    Annoy wa kwanza umeanza kujibu kwa hasira na kuonyesha ujinga wako. We sio mwanasoka michuzi hana kosa kuweka news. Angeweka ya kwenu mmeshinda ungemsifia. Kosa lenu nyie ni Mashetani wekundu na ule mji mliokwenda Rome. Ni mji mtakatifu mlikuwa mnategemea nini? shetani atamshinda mtu wa sala za Rome kwa papa( Barca oyeeeeeeeee) RUDINI kwa Referee wenu WEBB anayewabebanga.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 28, 2009

    EEH!!! WAMESHINDWA KUCHEZA SOKA SASA WAMEANZA MITUSI. sasa wewe 11:56 michuzi kawa mjinga leo? kwa vile barca kamchapa huyo kiti moto man u? POLE mdau, umechanganyikiwa. Lakini siyo peke yako, kuna mwenzio baada ya game kenda kuliingia lori pale ambiance.. bahati nzuri Mungu hakumtoa duniani ili akutane na watu alowatambia, akae na aibu zake.. MDOMO HAUCHEZI MPIRA. NA SIKU ZOTE NIMESEMA, LIONEL MESSI NDO ALISTAHILI KUWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA. AIBU KWA WALIOMPIGIA KURA KRISTINA. VITENDO VIMEJIBU MASWALI YA NANI ZAIDI (TINA au MESSI)
    Rudini Uingerezani kwenye MBELEKO ZENU..

    Mdau chiggs, deslam

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 28, 2009

    Ni kama tulikuwa tunacheza dhidi ya Ulimwengu mzima. Watu wote walikuwa wanaishangilia na kuiombea Barca.
    It was like against all odds.We will be coming back and raise again.
    Man U we are. Wale wanaofuata upepo mtabadili sana timu leo wote mko Barca kesho mtatafuta timu nyingine. Shame on You.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 28, 2009

    Tuachieni wenyewe na Man U yetu, kufungwa is part of the game, na tumekubali. Angalau tumefika tulipofika, waropokwaji wengi hapo juu timu zao zilichabangwa mapema na kutolewa sasa wanajidai wana midomo.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 28, 2009

    Hiyo ya jana ndio mnaona mmeshiinda...kupiga domooooo...geukeni nyuma muangalie historia ya MAN U ndipo mchonge mafala nyie....

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 28, 2009

    Balozi hapo ndio utacheka hadi jino la mwisho. Usicheke bado aibu unayo tuu hesabu vikombe vya Man ndipo upate kucheka.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 28, 2009

    Kwanini tung'are tuu sisi kila mara?? Ngoja tuwaachie na nyie mng'are kidogo. Hata Mungu amesema wewe ukipata mfikirie na mwenzio ambaye hajafikia kama wewe. (Mgawiane) Msijitapeeee

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 28, 2009

    WALIJUA WANAULIWA, WAKAVAA SANDA MAPEMAAAAAA.... SIJAPATA KUONA FAINALI YA UCL MBOVU KAMA HII. Nadhani itaingia kwenye kumbukumbu kuwa ni moja ya fainali iliyoboa sana kwa sababu ya kukosa ushindani. Manure united walikuwa wanautafuta mpira kwa TOCHI/KURUNZI

    mdau chiggs.
    LIVERPOOL OR BUST

    ReplyDelete
  26. United were tactically bankrupt long before referee Massimo Busacca's whistle brought the punishment to a close.at least we had good sleep!

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 28, 2009

    ukiangalia mpira wa jana unashangaa MAN U wanashindaje uingereza au utagundua kuwa ligi ya spain ni kali zaidi, jamaa walitafuta mpira hawakuuona wanaolinganisha Ronaldo na Messi nadhani wanaangalia ligi ya uingereza tu. Hata hivyo MAN U nawapongeza kwa kujitahidi kucheza vurugu vinginevyo wangepigwa 5, asikwambie mtu kuna timu zinajua mpira sio MAN U!!

    ReplyDelete
  28. Al MusomaMay 28, 2009

    Two skillful goals from two brilliant strikers from an awful defending of an otherwise excellent defending duo made the difference. But there was more. What was Anderson doing in the midfield? Yes, you may ask what was Yaya Toure doing at the back - both very little. But then, Barca had little to worry about as Iniesta and Xavi ruled over the flawed MU midfield with Messi terrorising and proving he was incomparable to any living footballer today - please admit if you voted for Ronaldo who was a shadow of himself last night.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 28, 2009

    WAUNGWANA WA 'BARCA' SIJAONA MWENYE COMMENT YENYE AKILI,NAKUBALI BARCA WAMESHINDA,LAKINI UBORA WAO UMEONEKANA KWA VILE MAN HAWAKUCHEZA KTK KIWANGO CHAO, NAJUA HAMTAKUBALI ILA HUO NDO UKWELI UKIACHA UNAZI.PILI KUHUSU RONALDO NADHANI UBORA WAKE NI WA MWAKA JANA NA HAINA UBISHI ALIKUWA ZAIDI YA RONALDO,SASA HUWEZI KUCHUKUA UBORA WA MWAKA HUU WA MESSI NA KUSEMA RONALDO HAKUWA BORA, LABDA KAMA UNA MTINDIO WA UBONGO,KILA KITU KINA WAKATI WAKE,KINACHOANGALIWA NI MAFANIKIO YA MSIMU HUSIKA NA SIYO KUANGALIA NINI AMEFANYA MSIMU UNAOFUATA,MAY BE MWAKA HUU UNAWEZA KUWA WA MESSI HATA HIVYO KWA JANA HAKUNA CHA AJABU ALICHOFANYA KUTHIBITISHA HILO,KWANI INIESTA NA XAVI,WAMECHEZA VIZURI ZAIDI YAKE NA UZURI WAKE KAMA UPO KWA JANA UMETOKANA NA HAO TOFAUTI NA RONALDO AMBAYE HAKUWA NA SUPPORT KWA VILE VIUNGO WA MAN HAWAKUCHEZA VIZURI.TUSIWE WAPENZI KIASI CHA KUTOONA MAMBO YALIYO DHAHIRI,HUO NDO USHAURI WANGU.KUHUSU KELELE ZA MAN NI HAKI YAO WANAPOPATA USHINDI,LAKINI WENGINE NAJUA WANA ZAIDI YA MIAKA 4 HAWANA FURAHA BADALA YAKE WANATAKA WENYE MAFANIKIO WASIFURAHIE,LOO HIYO NI ROHO YA KOROSHO.MPENDE MSIPENDE TUKISHINDA LAZIMA TUSHANGILIE MKINUNA MKICHEKA SHAURI YENU,RAHA JIPE MWENYEWE BWANA!WATASEMA WATACHOKA HUO NI WIVU TU,MAN U OYEE,KTK MAKOMBE MATANO TULITARAJIA TUMEPATA 3 NI MAFANIKIO MAKUBWA,UKIZINGATIA NI TIMU PEKEE ILIYOCHEZA MECHI NYINGI ZA MASHINDANO KTK MSIMU HUU.

    ReplyDelete
  30. muheshimiwa sir alexander fagason alalama meno yanamuuma maana jana ile big G ilikua kama vile kutafuna mawe!

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 28, 2009

    Kesema kweli mimi ni Manchester wa Damu lakini jana maji yalizidi unga.
    Penye ukweli uwongo hujitenga.Kibaya zaidi Sir Allex akapanga watoto kucheza na majini wa Soka.Kwaida ya Mpira mgumu unaanzisha timu yako unayoiamini.Unajua mimi baada ya kuwaona Anderson,na Park uwanjani nikamwambia my wife Alex ametuua leo.
    Anadhani anashiriki ligi kuu ya England uwanjani nini amesahau anacheza na mnyama mkali.Mimi nilikata tamaa na nikawa nimetuma kwenda Kitimtim post yangu kuwa Barcelona 2 Manchester 0 lakini huku roho inauma.Mwisho ikawa kweli na nimetumia message nisubiri mtu wa kuchukua pesa kesho.Hata nikishinda Kitimtim na kupata pesa lakini bado sitaila kwa furaha kwa aibu niliyopata jana.Ninachoomba kwa mtu yeyote ambaye yuko karibu na Sir Alex mwambieni ajaribu kusajili mabeki wazuri.Ferdinand Kachunda jamani na kisha anayo dharau ile ya Kiingereza.Atafute mabeki West Africa.Ligi ya Spain ni balaa!
    Kwa mtu anayejua ushindani hakuna sababu ya kubishana Barcelona ni moto mara moja.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 28, 2009

    Bila mbeleko ni ngumu sana kwa Man U kutwaa ubingwa wowote. Kila siku wadau wa Man U mnaambiwa lakini hamtaki kukubali. Si mmejionea wenyewe mbele ya Barcelona? Watu wanapiga fabo ya usiniguse, refa na wasaidizi wake wanafuatilia kinachoendelea uwanjani. Hakuna nafasi ya kujiangusha wala nini.
    Waombeni marefa wenu wa kuwabeba waache ili mpate uwezo wa kucheza kontinento fabo.

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 29, 2009

    Jamani msiwe limbukeni leo liverpool huyu asernal na wengine mara munakuwa barca kumbe munafata mshindi tu, upenzi sio huo jamani hemu kuweni na akili. Manu alimtoa huyo barca last year ktk nusu fainal na ktk histry 1991 barca alipigwa na manu ktk fainal za uefa sasa kufungwa manu ni jambo la kawaida jamani heeee munawapa kichwa manu kama wao waungu wa soccer anaweza kufungwa hata na west brom si ajabu. Kuhusu kuwa wana midomo manu ni haki yao kwasababu hawasemi kwa mdomo wanafanya vitendo na mara hii walisema 5 wamepata 3 hemu nyinyi kubeba ubingwa munaona easy mbona hamkubeba yakheeeeeee hata kimoja wengine 18 years hawajaligusa english pre kila siku wasema kesho kesho mpaka lini angalieni yenu kwanza ujinga huu hata sisi waafrica siona comments za ulaya kuongea hivo.

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 29, 2009

    ANONY WA 6:18PM HAPO JUU UNAHITAJI MSAADA WA FIKRA,UNASEMA MAN ANABEBWA UINGEREZA, JE KTK REKODI YA MECHI 25 ZA ULAYA AMBAZO MAN HAIKUPOTEZA(BARCA IKIWEMO KWENYE SEMI FINAL MWAKA JANA)ILIBEBWA NA NANI? JAMANI MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI,MAN INATISHA NDO MAANA HAIPENDWI.USHAURI:-ACHENI CHUKI BINAFSI,ARSENAL, LIVER,CHELSEA KAZENI BUTI ILI MPATE MAFANIKIO KWANI MAFANIKIO HAYAJI KWA KUDHARAU MAFANIKIO YA WENGINE.

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 29, 2009

    TO BE HONEST, CHALSEA OR LIVERPOOL COULD WIN IT VERY EASLY, MAN U WERE OVER CONFIDENCE THAT IS WHY THEY WERE DEAFITED, YOU KNOW WHAT DURING BIG MATCHES LIKE THIS YOU CAN AFFORD TO ALLOW A GOAL FIRST. HILO NI KOSA KUBWA MAN U WALIFANYA KURUHUSU GOAL KWANZA KWENYE MECHI KUBWA KAMA HIZI

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 29, 2009

    Ushindi wa Barca Jumatano,haubadilishi chohote kile kuhusu ManUnited.

    ManUnited walicheza ile mechi bila fletcher,brown and Hargreaves.Ile mechi ilikuwa ni ManUnited kuandika kitabu kipya kwenye CL.Kushindwa mechi moja,does not change anything.Manunited still ni timu iliyo decorated with many cups,including 3 times CL titles.Manunited will come strong next year and will win the CL.

    Mwisho nasema,tuliwafunga mwaka jana na kuwatoa.Wametufunga mwaka huu lakini we reach the final,they didn't.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...