
kocha wa taifa stars marcio maximo (kati) akiwa katika picha ya maktaba yetu na aliyekuwa kocha wa vijana marcus tinoco (shoto) na kocha wa mazoezi ya viungo ittamar amorim
KOCHA MPYA WA TIMU YA TAIFA YA VIJANA KUTOKA BRAZIL NA KOCHA WA MAZOEZI YA VIUNGO WA TIMU ZA TAIFA WANAWASILI LEO SAA MOJA KATIKA UWANJA WA JULIUS NYERE DAR.
KOCHA WA TAIFA STARS MARCIO MAXIMO KAIAMBIA GLOBU YA JAMII SASA HIVI KWA NJIA YA SIMU KWAMBA MAKOCHA HAO, ALIOWATAJA KAMA RODRIGO STOKLER (KOCHA WA VIJANA) NA MARCELO GUERREIRO (KOCHA WA MZAOEZI YA VIUNGO) WATAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JUMATATU KUELEZEA MIKATABA NA MIKAKATI YAO.
KOCHA STOKLER ATACHUKUA NAFASI YA KOCHA WA VIJANA WA ZAMANI TOKA BRAZIL PIA, MARCUS TINOCO, ALIYETIMKA MWANZONI MWA MWAKA HUU, WAKATI GUERREIRO ATAJAZA PENGO LILILOACHWA WAZI NA ITTAMAR AMORIM , MBRAZIL MWINGINE ALIYEKUJA NA MAXIMO WAKATI ULE.
HIVI SASA ITTAMAR NDIYE KOCHA WA AZAM FC BAADA YA KOCHA MWINGINE MBRAZIL, NEIDER DOS SANTOS, KUTIMULIWA.
Duh, waosha vinywa hawajaamka, wakiamka tu utasikia Maximo alienda kuleta ndugu zake.
ReplyDeletewaje tu hata kama wanatoka somalia tunachotaka ni timu kufuzu MTN Africa 2012.
ReplyDeletewe need to know clearly their short and longterm strategies hiyo j3.
Duh hii fulanazz inafanana na ile fulana ya jamii.
ReplyDeleteSIUNAJUA ZETU WABONGO ATA KITU CHA ZAIRE KWETU DEAL
ReplyDelete