kocha wa taifa stars marcio maximo (kati) akiwa katika picha ya maktaba yetu na aliyekuwa kocha wa vijana marcus tinoco (shoto) na kocha wa mazoezi ya viungo ittamar amorim

KOCHA MPYA WA TIMU YA TAIFA YA VIJANA KUTOKA BRAZIL NA KOCHA WA  MAZOEZI YA VIUNGO WA TIMU ZA TAIFA WANAWASILI LEO SAA MOJA KATIKA UWANJA WA JULIUS NYERE DAR.

KOCHA WA TAIFA STARS MARCIO MAXIMO KAIAMBIA GLOBU YA JAMII SASA HIVI KWA NJIA YA SIMU KWAMBA MAKOCHA HAO, ALIOWATAJA KAMA RODRIGO STOKLER (KOCHA WA VIJANA) NA MARCELO GUERREIRO (KOCHA WA  MZAOEZI YA VIUNGO) WATAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI JUMATATU KUELEZEA MIKATABA NA MIKAKATI YAO.

KOCHA STOKLER ATACHUKUA NAFASI YA KOCHA WA VIJANA WA ZAMANI TOKA BRAZIL PIA, MARCUS  TINOCO, ALIYETIMKA MWANZONI MWA MWAKA HUU, WAKATI GUERREIRO ATAJAZA PENGO LILILOACHWA WAZI NA ITTAMAR AMORIM , MBRAZIL MWINGINE ALIYEKUJA NA MAXIMO WAKATI ULE. 

HIVI SASA ITTAMAR NDIYE KOCHA WA AZAM FC BAADA YA KOCHA MWINGINE MBRAZIL, NEIDER DOS  SANTOS, KUTIMULIWA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2009

    Duh, waosha vinywa hawajaamka, wakiamka tu utasikia Maximo alienda kuleta ndugu zake.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2009

    waje tu hata kama wanatoka somalia tunachotaka ni timu kufuzu MTN Africa 2012.
    we need to know clearly their short and longterm strategies hiyo j3.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2009

    Duh hii fulanazz inafanana na ile fulana ya jamii.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2009

    SIUNAJUA ZETU WABONGO ATA KITU CHA ZAIRE KWETU DEAL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...