Home
Unlabelled
clouds 88.4 fm radio kuhama rasmi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
CONGRATULATIONS...HUO NI MFANO WA KUIGWA NA KUPIGIWA UPATU!!! KARIBUNI MIKOCHENI...HAKUNA SHIDA YA PARKING WALA FOLENI...
ReplyDeletekaka hayo ni maendeleo pongezi kwa uongozi na timu nzima ya radio ya watu jijini
ReplyDeleteGoooooooood In_Shallah Kila la kher radio Yetu!
ReplyDeleteNdiooo ndioooooo.....
ReplyDeleteNdiyo jambo la mbolea hilo,lazima muhimli ushindani,hakika mnajiweza tatizo ni kuwafikiwa watu wengi zaidi.
ReplyDeleteTunataka isiwe tu Best Radio pia TV station tena kwa nyanja zote kila la heri.
THATS WHATS UP,BIG UP SANA.TATIZO NI KWAMBA WE STILL DONT GET CLOUDS FM ONLINE,WHAT'S WRONG?UR NOW BIG N U MUST DO BIG THINGS,REDIO ZOTE ZA MAANA ZIPO ONLINE COME ON GUYS!!!
ReplyDeleteMi sijaelewa ... je hilo jengo lote ni mali ya Clouds FM au wao ni wapangaji tu?
ReplyDeleteBig up clouds fm, hakika mnachonga barabara! next thing ni kama ze mdau hapo juu alivyosema, get online now. there is a huge market huku nje, and u can always streamline ur business to make sure u get the most of it! changamkeni jamani!
ReplyDeleteWewe anony wa may 29 8:21 pm inaelekea unaendekeza sana mambo ya kuwa mpangaji (tenant) ...Hilo jengo ni mali ya clouds, ni jengo lao! wameachana na mambo ya kuwa wapangaji...hela wanazopata badala ya kwenda kutanulia ulaya,hongkong, dubai au kununulia magari ya kifahari na kubadilisha vimwana wameamua kujenga hicho kitu!!! Mmenipa raha sana nyinyi clouds...mwake humo!! kajengo kametulia na kapo sehemu yenye hadhi yake!!! SAAAAAAAAFISAAAAAAAANA
ReplyDeleteHapo ndipo najiulilzaga maswali sipati jibu;
ReplyDeleteKuna notaion kwamba tanzania kumejaa ufisadi kiasi kwamba uwezi kufanya chochote mpaka uwe fisadi.
Je wajasiliamali wote ambao wamefanikiwa ni mafisadi?
any way hongereni Clouds FM kwa kupiga hatua hiyo, mme toka mbali.
Nasikia wanataka kufungua na Tv station. Vipi kuhus huu mswaada mpya wa serikali kuhusu umilikaji wa vyombo vya habari? hutakiwi kumiliki zaidi ya chombo kimoja cha habari. Isije ikawa ni mbinu ya mafisadi kumuangamiza Reginald.
ReplyDeletesheria ya kikoloni ya media ownership na watu binafsi
ReplyDeletekituko
NAKIPENDA SAAAANAAA KIPINDI CHA "POWER BREAKFAST"
ReplyDeletekuanzia watangazaji wanavokiremba na bonge mtaani