kituo cha redio maarufu nchini cha clouds 88.4 fm kinahamia jengo lake sehemu za mikocheni karibu na daraja la mlalakuwa, pembeni mwa barabara inayoelekea coca cola jijini dar baada ya kuwa angani kwa zaidi ya miaka 10 kwenye jengo la kitega uchumi la shirika la bima.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2009

    CONGRATULATIONS...HUO NI MFANO WA KUIGWA NA KUPIGIWA UPATU!!! KARIBUNI MIKOCHENI...HAKUNA SHIDA YA PARKING WALA FOLENI...

    ReplyDelete
  2. kaka hayo ni maendeleo pongezi kwa uongozi na timu nzima ya radio ya watu jijini

    ReplyDelete
  3. Mama AkuMay 29, 2009

    Goooooooood In_Shallah Kila la kher radio Yetu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2009

    Ndiooo ndioooooo.....

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2009

    Ndiyo jambo la mbolea hilo,lazima muhimli ushindani,hakika mnajiweza tatizo ni kuwafikiwa watu wengi zaidi.

    Tunataka isiwe tu Best Radio pia TV station tena kwa nyanja zote kila la heri.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2009

    THATS WHATS UP,BIG UP SANA.TATIZO NI KWAMBA WE STILL DONT GET CLOUDS FM ONLINE,WHAT'S WRONG?UR NOW BIG N U MUST DO BIG THINGS,REDIO ZOTE ZA MAANA ZIPO ONLINE COME ON GUYS!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2009

    Mi sijaelewa ... je hilo jengo lote ni mali ya Clouds FM au wao ni wapangaji tu?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2009

    Big up clouds fm, hakika mnachonga barabara! next thing ni kama ze mdau hapo juu alivyosema, get online now. there is a huge market huku nje, and u can always streamline ur business to make sure u get the most of it! changamkeni jamani!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 30, 2009

    Wewe anony wa may 29 8:21 pm inaelekea unaendekeza sana mambo ya kuwa mpangaji (tenant) ...Hilo jengo ni mali ya clouds, ni jengo lao! wameachana na mambo ya kuwa wapangaji...hela wanazopata badala ya kwenda kutanulia ulaya,hongkong, dubai au kununulia magari ya kifahari na kubadilisha vimwana wameamua kujenga hicho kitu!!! Mmenipa raha sana nyinyi clouds...mwake humo!! kajengo kametulia na kapo sehemu yenye hadhi yake!!! SAAAAAAAAFISAAAAAAAANA

    ReplyDelete
  10. MediaViabilityMay 31, 2009

    Hapo ndipo najiulilzaga maswali sipati jibu;

    Kuna notaion kwamba tanzania kumejaa ufisadi kiasi kwamba uwezi kufanya chochote mpaka uwe fisadi.

    Je wajasiliamali wote ambao wamefanikiwa ni mafisadi?

    any way hongereni Clouds FM kwa kupiga hatua hiyo, mme toka mbali.

    ReplyDelete
  11. Nasikia wanataka kufungua na Tv station. Vipi kuhus huu mswaada mpya wa serikali kuhusu umilikaji wa vyombo vya habari? hutakiwi kumiliki zaidi ya chombo kimoja cha habari. Isije ikawa ni mbinu ya mafisadi kumuangamiza Reginald.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 01, 2009

    sheria ya kikoloni ya media ownership na watu binafsi

    kituko

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 01, 2009

    NAKIPENDA SAAAANAAA KIPINDI CHA "POWER BREAKFAST"

    kuanzia watangazaji wanavokiremba na bonge mtaani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...