Home
Unlabelled
dogo wa uswazi mchana huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
si kwasababu wewe ni mroho sana!Kisha humo tumboni una wale jama mnaoshirikiana nao kugawana msosi.
ReplyDeleteukiwatoa tu basi utajisikia kutosheka!!hahahaaa
kama hali ndo hiyo kwanini watu wasiwe majambazi
ReplyDeletehahahhahahahah hii kali sana ...shukrani katunisti na DC kwa kutuletea haya mambo
ReplyDeleteSi unaona sasa, hayo ndiyo mambo! maana hayo maandishi ukijumlisha na hiyo picha mambo ndo yanakuwa mswano. Sio yale maandishi tuliyoyaona kwenye "trela". Asante kwa burudani.
ReplyDeleteSafi katuni nzuri ujumbe umefika kwa walfiii
ReplyDeleteSi FISADI utashiba vipi.
ReplyDeletesio ushibi acha kunywa pombe chafu wewe tumboni humo kumeharibika
ReplyDeleteHahaahaha sababu umebakisha tonge la ugali kwakwakwakwa. Nzuri hiyo endeleza libeneke Kipanya anaanza kupigwa chini na michuzi.
ReplyDeletekinachonichekesha hapo ni hiyo apataiti ya kushiba sijawahi sikia hiyo,duh hiyo kali!!
ReplyDeletewewe unayemzungumzia kipanya unachekesha sana,wewe unafikiri kipanya anamtegemea michuzi!KP mashine nyingine bwana.
ReplyDeleteHushibi kwa sababu wewe ni nyangumi.
ReplyDeletesijasema kama kipanya mbovu kipanya ni Bingwa wao wa sasa kwenye vipande vya cartoon toka Kingo na Chakubanga. ila nasema Michuzi anaanza kumuweka kijana angalau anaweka ushirikiano nan guvu nzuri kwak ijana wetu sababu kipanya tayari yupo mbali. kweli waweke Blog ya hawa cartoon kuna moja mkienda Google click BONGO TOONS.
ReplyDelete