Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2009

    si kwasababu wewe ni mroho sana!Kisha humo tumboni una wale jama mnaoshirikiana nao kugawana msosi.
    ukiwatoa tu basi utajisikia kutosheka!!hahahaaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2009

    kama hali ndo hiyo kwanini watu wasiwe majambazi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2009

    hahahhahahahah hii kali sana ...shukrani katunisti na DC kwa kutuletea haya mambo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2009

    Si unaona sasa, hayo ndiyo mambo! maana hayo maandishi ukijumlisha na hiyo picha mambo ndo yanakuwa mswano. Sio yale maandishi tuliyoyaona kwenye "trela". Asante kwa burudani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2009

    Safi katuni nzuri ujumbe umefika kwa walfiii

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2009

    Si FISADI utashiba vipi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2009

    sio ushibi acha kunywa pombe chafu wewe tumboni humo kumeharibika

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2009

    Hahaahaha sababu umebakisha tonge la ugali kwakwakwakwa. Nzuri hiyo endeleza libeneke Kipanya anaanza kupigwa chini na michuzi.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2009

    kinachonichekesha hapo ni hiyo apataiti ya kushiba sijawahi sikia hiyo,duh hiyo kali!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 09, 2009

    wewe unayemzungumzia kipanya unachekesha sana,wewe unafikiri kipanya anamtegemea michuzi!KP mashine nyingine bwana.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 09, 2009

    Hushibi kwa sababu wewe ni nyangumi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 09, 2009

    sijasema kama kipanya mbovu kipanya ni Bingwa wao wa sasa kwenye vipande vya cartoon toka Kingo na Chakubanga. ila nasema Michuzi anaanza kumuweka kijana angalau anaweka ushirikiano nan guvu nzuri kwak ijana wetu sababu kipanya tayari yupo mbali. kweli waweke Blog ya hawa cartoon kuna moja mkienda Google click BONGO TOONS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...