Home
Unlabelled
dogo wa uswazi usiku huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu cartoonist namvulia kofia, yaani nimecheka sina mbavu, big up saaaana tuuu.
ReplyDeleteFadhili Moh'd anawakilisha watu wa hali ya chini kwenye mawazo yake. Si siri unatuwakilisha vilivyo kaka.
Keep it up.
Mzee nimekukubali asilimia mia moja. hapa kwenye internet cafe nimecheka kama sina akili nzuri, mpaka mtu wa pembeni kashangaa huyu jamaa vipi. naandika kutoka nje ya nchi.
ReplyDeleteDogo wa Uswazi nakukubali,sisi watu wa huku Uswazi ukikutana na Vibaka kama hao bora uwapige Mkwala wa Kuwaroga.Baadhi yao wanaweza kuogopa,lakini ukiwachimba MKWALA wa Polisi hawakuelewi na wala hawaogopi.Huku Uswazi maisha ni ya kuwindana zaidi hivyo yakupasa uwe na tahadhari hasa nyakati za usiku.
ReplyDeleteBWALYA
MTONI-MWEMBE MADAFU
TMK
Hahahahaaahhahaha Michuzi hapa umecheza kwa kumleta huyu dogo katika blog ya Jamii.
ReplyDeleteHakika umeniondolea stress zangu na upweke kwa kunipa vionjo vya mtaaani haswaa!!
Tehe tehe tehe teheeeee
Keep it up Fadhil
Mdau Oslo