Home
Unlabelled
Employee of the Month
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du..hii laki!
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteDuhh!! hayo makubwa sasa.Tunajuaje kama alikuwa anatizama nanihii....huku akiji-nanihii???
ReplyDelete**Ofisi gani tena hiyo na Jinsi/Kanda2??
That person is lacking intellectual acuity! why in the world would he put his laptop on the floor? why didn't put it on his lap? I mean Mapaja?
ReplyDeleteIsije kua anatafuta picha nzuri ili apate lunch ya nguvu!!! (Chooni) yangu macho!
ReplyDeleteshud be employee of the year lol!
ReplyDeleteKoku
Huenda anaangalia globu ya jamii! Globu ya jamii oyeeeeeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteHuyo ni mzushi tu, asijekuwa anaangalia zile picha zetu ili baadae apate mzuka amalize kazi hapohapo chooni
ReplyDeleteLOOOL thats too much now,am sure she is chating instead of working lool.all this twitter,myspace and facebook thing driving people crazy.
ReplyDeleteni kweli huyu mjamaa alikuwa akifanya kazi au alikuwa akijikoleza na mambo flani flani? maana kwa wenzetu wireless kila mahali.. si hasha aliingia kwenye site...
ReplyDeletekwa vyoo gani vya kwenda kuchafua notebook yangu???.kukojoa tu mnakuwa kama mna mwagilia mchicha,maji ya kuflash hakuna harufu ndio usiseme,hiyo haya kubwa ndio balaaaaaaa.Acha utani na watu ulieweka picha hii.{MDAU}
ReplyDeletelol! constipation?
ReplyDeleteDuh! Hizo germs kwenye sakafu na kwenye mikono! No way! Hatuhitaji hiyo level of dedication!
ReplyDeleteduh!! mi paja tu lile!!! yani hapa nimekwisha kabisaaa. natamani ningekuwa bongo nivamie Revola, au Emperial, au GIV au hata basi komoa au Mshindi kwa kasi ya ajabu. mambo yetu yaleeee ya nyetooooooz kwa povuuuuuuz. lakini huku nje shampoo hizi kazi haziwezi hafu machemicals mengi!!! dada zetu wenyewe walioko huku ndo hivyo za kibongo utadhani hawazioni vile!!!
ReplyDeleteAKI
Huyu jamaa alikuwa anaharisha tu babakeeeee!!!!!!!
ReplyDeleteKwanza mfanyakazi wa McDonald tu huyo. Mwone na kandamili zake.....hata casual Friday watu hawavai hivyo. Huyo anajidai kuwa anaenda chooni kumbe anaenda kuchat tu huko
ReplyDeleteHuyu ni Mwanakijiji ana post JF ...na haya ndiyo maneno anayoandika .."Mimi mwanaume siogopi mtu na niko tayari kwa lolote. M.M Mwanakijiji"
ReplyDeleteOh,mama mbavu zangu HA HA HA HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
ReplyDeleteHahahaha eti mwanakijiji...!
ReplyDeleteMshauri ale vyakula laini au ale haluli maana jamaa anajikamua choo ni kigumu na baada ya hapo mtafutie KY maana lazima amepata mchubuko inaonyesha anakula bila kunywa maji mengi
ReplyDeleteDuh kazi kweli kweli! Lakini kama mtu ukiwa unavyofanya kazi ndivyo unavyolipwa kama US duhhh mbona mimi ningefanya hadi chooni, hadi usiku kitandani lakini TZ unaweza kufanya kaziiii kinoma lakini mshahara mwisho wa mwezi laki moja ambayo haiendani na matumizi na kazi ulizo fanya wala marupu rupu hakuna kuumizana miili tuu. Acha tuwe goigoi tuu.
ReplyDeleteMdau kaka trio hapo 4:23, umejuaje kuwa huyu ni mwanaume?? mi naona huyu ni demu kwa sababu zifuatazo:
ReplyDelete1. check vidole vyake, achilia mbali silhoutte ya mkono na mguu
2. hiyo pair of trousers inaonekana ni zile za kubana sana (huvaliwa hasa na mademu au mwanaume shoga) ndo maana kaishusha hadi kwenye enka kudadeki. halafu kuiweka kwenye upwaja labda kaona inamuunguza!!
Mdau chiggs,deslam
ndo yale ya zeutamu mnaokota picha njiani mnaweka mtandaoni, ofisi gani mtu ana jeans na ndala?
ReplyDeletehii picha imenikumbusha mbali sana hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteLMAO!!!
ReplyDelete