This is the level of dedication we expect from all staff!!!
From,
Management

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2009

    Duhh!! hayo makubwa sasa.Tunajuaje kama alikuwa anatizama nanihii....huku akiji-nanihii???
    **Ofisi gani tena hiyo na Jinsi/Kanda2??

    ReplyDelete
  3. Kaka TrioMay 26, 2009

    That person is lacking intellectual acuity! why in the world would he put his laptop on the floor? why didn't put it on his lap? I mean Mapaja?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2009

    Isije kua anatafuta picha nzuri ili apate lunch ya nguvu!!! (Chooni) yangu macho!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2009

    shud be employee of the year lol!
    Koku

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2009

    Huenda anaangalia globu ya jamii! Globu ya jamii oyeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2009

    Huyo ni mzushi tu, asijekuwa anaangalia zile picha zetu ili baadae apate mzuka amalize kazi hapohapo chooni

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2009

    LOOOL thats too much now,am sure she is chating instead of working lool.all this twitter,myspace and facebook thing driving people crazy.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2009

    ni kweli huyu mjamaa alikuwa akifanya kazi au alikuwa akijikoleza na mambo flani flani? maana kwa wenzetu wireless kila mahali.. si hasha aliingia kwenye site...

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 26, 2009

    kwa vyoo gani vya kwenda kuchafua notebook yangu???.kukojoa tu mnakuwa kama mna mwagilia mchicha,maji ya kuflash hakuna harufu ndio usiseme,hiyo haya kubwa ndio balaaaaaaa.Acha utani na watu ulieweka picha hii.{MDAU}

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 26, 2009

    lol! constipation?

    ReplyDelete
  12. Duh! Hizo germs kwenye sakafu na kwenye mikono! No way! Hatuhitaji hiyo level of dedication!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 26, 2009

    duh!! mi paja tu lile!!! yani hapa nimekwisha kabisaaa. natamani ningekuwa bongo nivamie Revola, au Emperial, au GIV au hata basi komoa au Mshindi kwa kasi ya ajabu. mambo yetu yaleeee ya nyetooooooz kwa povuuuuuuz. lakini huku nje shampoo hizi kazi haziwezi hafu machemicals mengi!!! dada zetu wenyewe walioko huku ndo hivyo za kibongo utadhani hawazioni vile!!!
    AKI

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 26, 2009

    Huyu jamaa alikuwa anaharisha tu babakeeeee!!!!!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 26, 2009

    Kwanza mfanyakazi wa McDonald tu huyo. Mwone na kandamili zake.....hata casual Friday watu hawavai hivyo. Huyo anajidai kuwa anaenda chooni kumbe anaenda kuchat tu huko

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 27, 2009

    Huyu ni Mwanakijiji ana post JF ...na haya ndiyo maneno anayoandika .."Mimi mwanaume siogopi mtu na niko tayari kwa lolote. M.M Mwanakijiji"

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 27, 2009

    Oh,mama mbavu zangu HA HA HA HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 27, 2009

    Hahahaha eti mwanakijiji...!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 27, 2009

    Mshauri ale vyakula laini au ale haluli maana jamaa anajikamua choo ni kigumu na baada ya hapo mtafutie KY maana lazima amepata mchubuko inaonyesha anakula bila kunywa maji mengi

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 27, 2009

    Duh kazi kweli kweli! Lakini kama mtu ukiwa unavyofanya kazi ndivyo unavyolipwa kama US duhhh mbona mimi ningefanya hadi chooni, hadi usiku kitandani lakini TZ unaweza kufanya kaziiii kinoma lakini mshahara mwisho wa mwezi laki moja ambayo haiendani na matumizi na kazi ulizo fanya wala marupu rupu hakuna kuumizana miili tuu. Acha tuwe goigoi tuu.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 27, 2009

    Mdau kaka trio hapo 4:23, umejuaje kuwa huyu ni mwanaume?? mi naona huyu ni demu kwa sababu zifuatazo:
    1. check vidole vyake, achilia mbali silhoutte ya mkono na mguu
    2. hiyo pair of trousers inaonekana ni zile za kubana sana (huvaliwa hasa na mademu au mwanaume shoga) ndo maana kaishusha hadi kwenye enka kudadeki. halafu kuiweka kwenye upwaja labda kaona inamuunguza!!

    Mdau chiggs,deslam

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 27, 2009

    ndo yale ya zeutamu mnaokota picha njiani mnaweka mtandaoni, ofisi gani mtu ana jeans na ndala?

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 28, 2009

    hii picha imenikumbusha mbali sana hahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 28, 2009

    LMAO!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...