Home
Unlabelled
mambo ya ahmed viriyala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aaah bwana wewe hiyo ya Tandale, Jwangwani, Tandika ndio uhesabu kuwa hatuna amani acha ujinga hebu….Hiyo ni hali ya kawaida vibaka, wezi kila nchi hawakosekani bwana….Tunachotakiwa kuangalia ni amani ya kivita tumshukuru Mungu hatuna vita ovyo ovyo kama nchi nyingine japo vipo kidogo kidogo vya koo lakini havijakuwa vikubwa....Ukitaka kujua Tanzania wamezoea amani angalia mabomu ya mbagala yalipolipuliwa kila mmoja alitaka kuwa chizi kwa uwoga. Lakini nchi zisizokuwa na amani wanaona milio ile na mabomu yale ni chamtoto...
ReplyDeleteTumshukuru Muumba nchi yetu hivi ilivyo.........MUNGU IBARIKI TANZANIA.
We anon wa juu kama unampinga huyu katunisti basi we beba begi kama hilo au usibebe chochote katiza Jangwani mida ya saa 2 utajua anaongea ukweli au la! we mtoto wa mjini je una ushujaa wa kukatiza mitaa hiyo night? ah wapi! thubutuuu! hao daladala wenyewe mida ya night ukiwaambia msaada Jangwani hawasimami wakati unayeshuka ni wewe sio wao! hatuwezi kuwa na amani kamili bila kuwa na amani mifukoni mwetu!
ReplyDeleteHata akipita Masaki Mikocheni au Mbezi ndio majambazi kabisa huko. Kwanza nani aibe begi lake limejaa Toilet Paper?.
ReplyDeleteUjumbe mwingine picha nyingine. Sasa hilo begi matiti ya nini? Sijaona sababu ya kuchora hayo matiti kwenye hilo beg........Take it easy dogo
ReplyDelete