Home
Unlabelled
meee....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shed a tear on this..lol
ReplyDeleteAfrika Mokili Mobimba!!
ReplyDeleteBila ya Nepi ama Pampas wala sijambemba, ya nini kumwagia kojo na karanga zake anazozitengeneza tumboni ha ha ha aaaa
ReplyDeleteHivi ndiyo wananchi wanatakiwa wawe wanajitolea kulijenga taifa lao.
ReplyDeleteDu! hii kali ya mwaka,sijawahi kuona wala kusikia.kuishi kwingi kuona mengi.
ReplyDeletehuyu atakuwa mbuzi mtu co kawaida
ReplyDeleteSina uhakika anataka ku-prove nini, lakini angeweza kufunga box kwenye kiti cha baiskeli ambalo, ndani yake akawekwa huyo mbuzi na akakaa raha mustarehe.
ReplyDeleteread between the lines, mwenzio anamhamisha mfungwa toka gerezani, mbuzi gani huyu kadandia ka mpiga sarakasi?
ReplyDeleteDuh.. kweli bongo tambarare.. yaani hii ingekuwa ni ulaya jamaa sasa angekuwa ameshalipa faini hela nyingi mpaka sasa kwa kutesa huyo mnyama na huyo mbuzi kuchukuliwa na kupewa mtu mwingine amtunze..
ReplyDeleteJamani watu wa haki za wanyama wako wapi??? Pamoja na kwamba tunacheka, lakini huwezi amini maumivu aliyonayo huyo mbuzi!!!
ReplyDeleteJamani tubadilike
"GOD MUST BE CRAZY".....Part III
ReplyDeleteSijaona chakuchekesha hapo!
ReplyDeleteHuyo jamaa anakeuka haki za wanyama! na anastahili kushtakiwa.
HUO NI UNYANYASAJI WAWANYAMA!
Mdau!
walimwengu walisema kuwwa uyaone,ulimathani magorofa? ndio ukubwa huo
ReplyDeletejamaa kabeba demu lake nyie mnashangaa
ReplyDeleteEti haki za wanyama, nani kasema. Hujatulia kabisa sasa kwanini tunawachinja na kuwala.
ReplyDeleteJaama ni mbunifu, na hiyo inamletea kula.
Tuache kufuata mkumbo. tunashindwa kuwashtaki mafisadi tuanze kufuatilia watu wanatsfuta riziki halali.
fataki...liyumba yuko huru
ReplyDeleteswaaafi raha mustarehe na vigari vyekundu
ni hayo tu