Home
Unlabelled
mapambo kwenye minuso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka michu tafadhali tuambie hapo ni wapi na contact za mpambaji
ReplyDeletewewe anony one ..... mbona uko mgumu hivyo kuelewa??? Hapo si tumeambiwa kuwa ni Viwanja vya Karimjee Hall???!!!!! Sasa unataka usaidiweje??? Cha maana zaidi hapo nitakachokupongeza ni kutaka contacts. Mbona wabongo tuko wagumu hivyo??? (Siyo wote) ni vilaza wachache kama siyo VIHIYO!!!!
ReplyDeleteacha usanii alivyosema karimjee hall hujaona? hujaelewa au hupajui?
ReplyDeleteMMM wangu kama huna hela, za hayo mapambo, manake kila arusi ni mipambo ya kumwaga, sasa na hao walala hoi jeee, na hiyo mipambo kweli kuna mwaliko hapo
ReplyDeletewanajitahi but hizi keki za mangazi na magorofa yasiyo na mpango ziko autdated ...they need to creat elegant and simple keki ...let go magorofa na mangazi ..labda kwenye kipaimara but for wedding it's a big no no ...
ReplyDeleteotherwise mapambo shega....
Jamani mbona watu wengine mnapenda kutia maoni hasi? Hiyo ni staili yao walioichagua ni harusi yao na wameamua kama wanavyotaka. Wewe kama hupendi magorofa si ukaweke kwenye harusi yako? kila mtu na staili yake bwana. Michuzi please pass this message maana watu wengine kusifia bila kukosoa hawaoni raha..
ReplyDeletemimi nachosema SICHANGII TENA MAMBO YA MIHARUSI
ReplyDeleteUTAONA UKUMBI UMEPAMBWA LAKINI TUNAFATILIWA MICHANGO KAMA DENI
NASHAURI MAISHA NI MAGUMU MTU UNAPOTAKA KUOA JIANDAE KIMPANGO WAKO SIO KUFATAFATA WATU KAMA DENI MAISHA MAGUMU WATOTO SCHOOL BUS KAMA ADA YA UDSM MIMI JAMANI MSIJISUMBUE KUNIPA KADI
OA KWA KUJIANDAA
uyo annon mwenye roho ya kwanini aliiona keki ya Inni Edo??
ReplyDeleteaisee asante sana,tutafutie contacts tuweze book uo uwanja
safi sana sana sana
bustanini
anon wa 807 safi kabisa ninawashangaa watu.mtu unaenda kuoa unatembeza kibakuli tumechoka na kuombaomba jipange funga ndoa yako ndogo na nzuri usitake ufahari usiokuwa na maana kwa kuombaomba
ReplyDelete