minuso siku hizi inapambwa na kupambika. hapa ni harusi katika viwanja vya karimjee hall

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2009

    kaka michu tafadhali tuambie hapo ni wapi na contact za mpambaji

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2009

    wewe anony one ..... mbona uko mgumu hivyo kuelewa??? Hapo si tumeambiwa kuwa ni Viwanja vya Karimjee Hall???!!!!! Sasa unataka usaidiweje??? Cha maana zaidi hapo nitakachokupongeza ni kutaka contacts. Mbona wabongo tuko wagumu hivyo??? (Siyo wote) ni vilaza wachache kama siyo VIHIYO!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2009

    acha usanii alivyosema karimjee hall hujaona? hujaelewa au hupajui?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2009

    MMM wangu kama huna hela, za hayo mapambo, manake kila arusi ni mipambo ya kumwaga, sasa na hao walala hoi jeee, na hiyo mipambo kweli kuna mwaliko hapo

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2009

    wanajitahi but hizi keki za mangazi na magorofa yasiyo na mpango ziko autdated ...they need to creat elegant and simple keki ...let go magorofa na mangazi ..labda kwenye kipaimara but for wedding it's a big no no ...
    otherwise mapambo shega....

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2009

    Jamani mbona watu wengine mnapenda kutia maoni hasi? Hiyo ni staili yao walioichagua ni harusi yao na wameamua kama wanavyotaka. Wewe kama hupendi magorofa si ukaweke kwenye harusi yako? kila mtu na staili yake bwana. Michuzi please pass this message maana watu wengine kusifia bila kukosoa hawaoni raha..

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2009

    mimi nachosema SICHANGII TENA MAMBO YA MIHARUSI

    UTAONA UKUMBI UMEPAMBWA LAKINI TUNAFATILIWA MICHANGO KAMA DENI

    NASHAURI MAISHA NI MAGUMU MTU UNAPOTAKA KUOA JIANDAE KIMPANGO WAKO SIO KUFATAFATA WATU KAMA DENI MAISHA MAGUMU WATOTO SCHOOL BUS KAMA ADA YA UDSM MIMI JAMANI MSIJISUMBUE KUNIPA KADI


    OA KWA KUJIANDAA

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2009

    uyo annon mwenye roho ya kwanini aliiona keki ya Inni Edo??

    aisee asante sana,tutafutie contacts tuweze book uo uwanja
    safi sana sana sana

    bustanini

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 13, 2009

    anon wa 807 safi kabisa ninawashangaa watu.mtu unaenda kuoa unatembeza kibakuli tumechoka na kuombaomba jipange funga ndoa yako ndogo na nzuri usitake ufahari usiokuwa na maana kwa kuombaomba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...