msanii a kizazi kipya marlawa (pichani)  ni moto wa kuotea mbali. mlio ughaibuni mnamjua huyu ambaye kwa sasa ndiye yuko juu hapa bongo kuliko msanii yeyote? mapromota wa ughaibuni kazi kwenu...hivi sana ama kitu kinitwa "piiip piiip" ambacho ni  hatari tupu! hana mpinzania kwa sasa..
hebu msikilize na kumwangalia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2009

    Sasa bwana michuzi hii inakaaje?? hawa jamaa wanapost hizi blah blah za Marlaw kuwa ni mwimbaji bora kwa sasa hapo bongo alafu wanatuwekea wimbo wake wa zamani?? kama hawawezi kutuwekea nyimbo latest za huyu jamaa basi waache kupost huu upuuzi maana hatuwezi kumpigia debe kwa namna hii. asante.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2009

    For his songs tht av been listenin frequently since April, he got ryt to be on top, th guy z so so so.
    Why ddn' u post his new songs, like Daima na Milele,Wapi ulipo, Mwafaka, Si mimi n so so so. But am not sure as I dn't knw when were those clips introduced sokoni, coz always all who are out used to get th inside info lately.
    Tupostieni hiyo Biiib Biip sijui au Piib piib.
    Mdau, Mockva

    ReplyDelete
  3. mgogo muuza kahawaMay 12, 2009

    oya huyu jamaa ni noma mazeee!anatisha kama unajua muziki utakubaliana na mimi!kwakweli jamaa yupo juu,wasanii wengi wakibongo kuimba live(bila mikogo ya studio)bado ni tatizo ila huyu nimemkubali kwenye sekta hiyo kwakweli1mapromoter wa huku ughaibuni tuleteeni hii talent sio mbwembwe zenu tu!w

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2009

    BEMBELEZA

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2009

    Wimbo mzuri ingawa bado sijauskia huo Piip lakini ishu yangu kwa sasa ni nyingine.
    KWANINI WIMBO HUU UMEPOSTIWA YOUTUBE NA WAKENYA???? MANEMBO KIBAO KENYA WAKATI MWIMBAJI NI MTZ??? WHY? TZ HATUWEZI KUPOST TU NA KUWAZUIA WAKENYA AMBAO NI OPPORTUNIST IN EVERY ASPECT? KUANZIA MLIMA K'NJARO KUSEMA NI WAO, HATA NYIMBO NYINGI TU KAMA ZA ROZI MHANDO NK WANASEMA NI ZA KENYA, YANI INANIBOA KICHIZI. CANT WE DO SOMETHING HATA KWENYE MAMBO MADOGO KAMA HAYA?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2009

    Jamaa wapo juu kweli wasanii wa Bongo flava lakini wapo kichwa chini miguu juu huko juu, yaani hawana kitu mifukoni we angalia uganda frevainavyowalipa wasanii wa huko yaani wana ndinga aibu mzazi, sasa niamie kina Feruzi jamaa kisha paki ndinga lake kwa kusua hela ya wese.. Wadau tufanyeje maana jamaa wanaibiwa sana kazi zao inakuaje?
    Eti msanii anaitwa tour Ulaya analipwa dola 400 tukwa show moja si nibora abaki hapahapa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2009

    Lol come down maaan haha i know hata mimi wameniboa eti mwimbo wa piip piip kufungua rita argg michu please tuwekee huo mwimbo mpya ili tuone kama kweli ni moto bt kwa sasa yupo ok

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2009

    wewe kweli ni bingwa kwa sasa na umetulia hongera sana sijuwi lini nitakuona live??

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 13, 2009

    well done marlaw keep it up
    i love you

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2009

    well done marlaw keep it up
    i love you

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 13, 2009

    Without disrespecting him,in my own opinion Ali Kiba is in another level n he is the BEST in East Africa.Give the credit where its due.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 13, 2009

    Marlaw si muimbaji mbaya ila Ali kiba anawaficha wote hao mpaka sasa, aliyesemak uhusu wakenya hebu wacheni ushamba bwana youtube mbona kuna za tz wanarusha nyimbo za marekani sasa na hiyo utasemaje? anayetakak usikiliza bipp bipp ipo darhotwire sehemu ya mdundo window media player. tuwacheni majungu jamani.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 13, 2009

    Unaweza kuusikiliza huo wimbo wa Marlaw hapa http://www.bongocelebrity.com/2009/04/26/pip-pipmissing-you-my-baby-marlaw/

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 13, 2009

    hereni......

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 13, 2009

    Ughaibuni hatumjui wala hatujawahi kumsikia. Hebu tuleteeni mambo yake tuone.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...