Mh Balozi na Mkuu wa Wilaya ya Nanihii,
Ninaomba msaada kwenye tuta kwa wadauzi wote wa globu ya jamii..Ninapenda kufahamu kama kuna mdau yoyote yule, Mtanzania anayeishi katika mji wa San Diego huko California ningependa kuwasiliana naye.Maana ninatakiwa kuanza shule (nondozi zaidi) huko University of San Diego mwezi wa nane mwishoni.
Naomba tuwasiliane kupitia e-mail yangu
ernest_makulilo@yahoo.com
au
msauzi101@yahoo.com
na namba ya simu ni 304 633 0978
MDAU
MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
West Virginia
Makulilo rudi nyumbani utusaidie Temeke kujiendeleza na elimu maana moja ya sheria ya visa yako ilisema ukimaliza scholar yako hapo Mashall University utarudi nyumbani Tanzania kutufundisha .
ReplyDelete"The student must return to Tanzania after they complete their studies and work to develop Tanzania."
sasa na wewe umekatalia huko, eti unaendelea na masomo.atarudi nani
mwache makulilo kama kusaidia tanzania kaisha saidia kwa kutoa info za bure kwenye blog yake, ondoka huko temeke wewe mdau na usome ughaibuni.Mwache jamaa abebe box ajipange, kalia vumbi hilo hilo la temeke na mbagala
ReplyDeletegood stuffs bro kama unasogea pande za huku...mimi siko san diego niko santa barbara na nilijaribu kumuandikia bro michuzi aniulizie kama kuna wabongo lakni ailiniweka kapuni...san diego kama kutakuwa kuna wabongo watakuwa wachache sana lakini poa ngoja ntafanya utafiti wangu n then naweza nikapata infos
ReplyDeleteWeweeeeee Nipo San Diego Kama unataka na Form za Kazi Viwandani pia huku unasoma Sema tu.
ReplyDeleteProfesa Makulilo anaenda kuongeza shule!?Hii mbona haijatulia?By the way,wewe uko USA,na naamini kuna watanzania kibao unaowafahamu hapo US.Usituzuge kujifanya unawatafuta Wa-TZ kupigia globu ya jamii,SEMA UNATAKA KUTUJULISHA KUWA UNAENDA SHULE!
ReplyDeleteAu pengine unafanya promosheni ya blogu yako.
Wizi mtupu!
annon 1:42am hahahahahaaaa
ReplyDeleteuwiiii tih tih hahahaaaa
kwakweli!!km ulikuwepo
we annon 1:42am, acha ushamba ndugu, acha kudhani ukifika marekani ni sawa na kijiji cha sanga ngongele huko, marekani ni majimbo 50, sawa na nchi 50 kwa maana nyingine....Dar yenyewe tu kumpata mtu ni kazi, sasa undhani huyo makulilo kuwepo kwake marekani basi kila mtanzania anamjua??uliza kuna watanzania milioni ngapi kwanza kabla ya kukurupa kuandika.Balozi mwenyewe hawajui watanzania wake.
ReplyDeleteWe anony wa 6:33 ndio mshamba wa daraja la juu kabisa.Tatizo lenu "wakuja" mkifika nchi za watu (hususan scholarship-type) mnajifanya watu wa class flani.
ReplyDeleteYaani kukaa kwako kote huko uliko hujuani na Watanzania wenzako?Au nyie ndo mnaotafuta watu wakati wa shida tu?Siamini kwamba huyo Profesa huwa haendi kwenye minuso,harusi au misiba inayojumuisha wabongo.
Kujua watu ni ujanja plus kujichanganya.Ukijifanya uko too busy to mingle,utalijua jiji!Eti majimbo 50,kwani hao wabongo wanaojuana wanakaa borough moja?We endelea hivyohivyo na hadithi zako za majimbo 50,utapata displini siku ya matatizo!
It works like this,profesa Makulilo angemjua A then A angemuuzliza B,B kwa c,hivyohivyo hadi Z (San Diego).What you call ushamba,sie tunaita survival technique in the jungle!
Balozi akipata shida ana nyenzo kibao za kumsaidia (fungu la serikali,nk).Sasa wewe endeleza hadithi zako za eti balozi mwenyewe ahwajui watanzania,halafu siku ya siku ukumbane na matatizo....
ReplyDeleteHuyu Makulilo MTU WA MAUJIKO TU.Pale kwenye blogu yake amejitambulisha kama Fulbright Foreign Language Visiting Scholar and PROFESSOR at Marshall University,LAKINI he is expected to join University of San Diego (USD), California (USA) September 1st, 2009 to pursue Master of Peace and Justice Studies.Labda mie upeo mdogo,lakini inawezekana kweli kuwa Profesa mwenye B.A?
NIANDIKIE HAPA:felma2001us@yahoo.com
ReplyDelete