MH. MICHUZI NA WADAU WOTE WA GLOBU YA JAMII,
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MPOKEE VIDEO HII IWE KISINDIKIZO CHA SALAMU ZANGU ZA SIKU YAWAFANYAKAZI DUNIANI YAANI MEI MOSI.
NISALIMIENI PIA MADEREVA WOTE WA DALADALA (HASA YULE ALIYENIPIGA PASI NILIPOKUJA VEKESHENI BONGO MWAKA JANA), MADEREVA WA VIBAJAJI NA MADEREVA WA TEKSI BUBU WOTE WA TEGETA, BILA KUSAHAU MATRAFIKI WOTE.
UJUMBE: TUHITIMISHE SIKU HII YA MEI MOSI KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA USTADI KAMA HUYO MDAU MBEBA TOFALI WA INDIA

BARAKA CHIBIRITI
MDAU WA CESENA, 
ITALY

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2009

    Mh!!! Chibiliti umerudi????? sio siri nilikumiso mno, haya nangoja kuvunja mbavu zangu kwa majibu utakaopewa!! Upweke siku hizi umekutoka??

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2009

    Wow!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2009

    duh aisee mzee chiberiti wa chibatari umepotelea wapi au bibi kakubana haha..

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2009

    Duuh, hii kali! Unajua nilishaskia India hawatumiagi crane kwenye ujenzi ma maghorofa nikabisha, sasa nimeamini.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2009

    Chibiriti mbona umetuharibia shughuri? Leo sikukuu ya wafanyakazi, lakini imenijaa huzuni, hasa baada ya kuona mfanyakazi wa kikwelikweli.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 01, 2009

    Doh!hata bongo kunashida,lakini haijawahi kutokea kama hiyo,au jamaa ni mtu wa mazingaombwe?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 01, 2009

    Chibiriti,
    Pikipiki uliuza? Ninahitaji kwa ajili ya shughuli zangu sikumbuki ilikuwa ni model gani. Ikiwa bado unayo ninahitaji kufahamu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 01, 2009

    Mungu wangu Chibiriti.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2009

    Du! huyo jamaa uti wa mgongo wake lazima utakuwa na SUSPENSION za uhakika

    ReplyDelete
  10. Kaka Chibiriti vipi ulizira? Karibu tena hapa kwenye globu ya jamii, hajambo my wife wako

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 01, 2009

    he hayo matofali yana sumaku? hayaanguki? lo siwezi kupita karibu yake ngó. Kweli hakuna lisilo wezekana!
    Koku

    ReplyDelete
  12. CHIBIRITI.May 01, 2009

    Jamani nipo tuu, na naendeleza siku zote kuwa mdau mkubwa sana wa blog hii ya Jamii, sikuzila kabisa, majukumu yamenizidi sana, lakini baada ya mda nitarudi hali ya kawaida wala si my wife wala nini, box zimezidi tu.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 01, 2009

    Ha ha ha ha ha ha!!
    Yaani nimecheka hiyo mpaka duh!!

    The picture must have been photoshoped,how can it be possible.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha,mimi nimebeba sana matofali lakini hapo nimechemcha,duh!!

    Mkulima-kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 02, 2009

    HI Chibi,

    Mimi ni mdau wa Construction Health and Safety. Naomba unitumie link au video hiyo kwenye e-mail yangu chenjewele@yahoo.com. Nitakushukuru sana maana itafaa kuwafundishia wajenzi wapya.

    Tafadhari, take it serious

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 03, 2009

    kwa hesabu ya haraka haraka jamaa amebeba matofali ishirini na mawili lol.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 04, 2009

    Kweli jamani mnaokula Tax za watu na mafisadi sio vizuri mnaona vibaba vya kazi na mama wa kazi hapo? nimesikia kama backround mzungu anasema They is Noway. tofali jibaba ataweka tu juu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...