


maswali??
-------------------------------------------------------
Michuzi,
Si unakumbuka yule wa Kenya?
Sasa hii njemba ya Naijeria imeona isijitundike,
bali ife na wadau wa timu pinzani.
Mdau Fred
========
A Manchester United fan in Nigeria has allegedly killed four people when he drove into a crowd of Barcelona supporters after his team's Champions League defeat.
Police said the crowd in the town of Ogbo were celebrating Barcelona's victory when the minibus drove into them.
A police spokeswoman said ten people were injured and the driver was arrested.
She said: "The driver had passed the crowd then made a U-turn and ran into them."
Barcelona beat Manchester United 2-0 in what has been hailed as a "dream final" between two of Europe's best clubs. Both teams have large fan bases in Nigeria, Africa's most populous nation.
===
Source: http://uk.news.yahoo.com/4/
20090528/twl-man-utd-fan-
kills-four-in-nigeria-41f21e0.html
Yule domokaya wao evra mbona sijamsikia kuongea this time, au ndio 11 men walikutana na 11 jiniz?
ReplyDeleteOooh vidic hamna wakupita, muulize Etoo alimfanyaje! ooh rio balaa, muulize Henry alivyomzungusha!
Kudadadeki, Barca balaa tupu, mashetani walikuwa utadhani wanacheza ule mchezo ambao mtu unawekwa kati then unatafuta mpira! Fergie mwenyewe kakubali, anadai wale jamaa wawili Xavi na Iniesta wanaweza kukaa na mpira siku nzima wakitaka!!
OLD NEWS! WE HEAR YOU LOUD AND CLEAR PLEASE LIFE SHOULD GO ON..
ReplyDeleteMANCHESTER UNITED FOR LIFE
kiongozi: mama ninunulieeee
ReplyDeletewote: peremendeeeee
kiongozi: peremende ganiiii??
Wote: MAN UUUU
kiongozi: kama hutakiiiii
Wote: ondokaaaa
kiongozi: mpigaji ngomaaaa
wote: kasemaaaa, tili tili tinda tili tinda kabomaleee. makofi kidogo......papapaaaa.....vipisi kidogo..........fyufyufyuuuuuuu!
Feninand alikua shuhuda mzuri wa magoli yote mawili, maana kwenye picha zote hizo mbili za magoli aalikua ktk angle ya kushangaa jinsi wanaume Barca wanavyoafanya mambo.
ReplyDeleteMshasema sana Jana sasa hii ya leo nini tena? Mshasikia mpopo kaponda watu Nigeria huko lete mchezo tu, hay sisi hatujazoea! msituchezee
ReplyDeleteIniestaaaaa!!! ah kidogo liwe la tatu!!!
ReplyDeleteXaviiiiiiiiii.
Oh what kind of touches barca!!!! absolutely stunning!!!
It's as if Barca are playing against no one!!!
Man U went lost since the tenth minute!!! they only played the first 10 min and they are no longer in the field.
Brca ni kama wanacheza na miti na sio binadamu hapa wasikilizaji!!!
Barca have proved tonight that they are simply the world's best followed by the european specialists Liverpool!!!
Barca have totally outclassed Man you here i Rome!!! the outplayed Man U since the 10th minute!!
No ronaldo no Rooney No gigs no any rubbish from trafford tonight!! not even Fergie!!! it's mess Iniesta Et'oo Phils Xavi al over!!!
Man U surely needs time to rethink whenever they drawn against this top quality world class team!!!
Poleni
Ahsante.
MACMUGA: wa livapuli
jamaa ilikuwa mdebwedo!
ReplyDeleteInafurahisha sana mshambuliaji mwenye kimo cha 5'7" anapowatoroka mabeki wenye urefu wa zaidi ya 6' na kumfunga kwa kichwa kipa mwenye urefu wa zaidi ya 6'5".
ReplyDeleteBila mbeleko kwa kweli mechi zinakuwaga ngumu sana.
Bw Michuzi sio Etoo ni E(2) Messi kanata juu kwa juu kichwa pwaaaa. Mafisadi Manchester United wamepigwa mbayaaa wasubiri Vikesheni hahahaa!!!. Tevez alikuwa anajikimbiza nini? wakati jamaa Mafisadi manchester united wanamtumia tu kijana. Mnafikiri Champion Leag unaweza kubeba tu mara mbili mfululizo wakati kama huu endelea kumeza Big G za kenya Vekesheni. XXXXX
ReplyDeleteHAHAHAHAHA Ngamia Van Der Ser mdomo wazi huo mpira sio maji ya kunywa kaka. Mtoto wa Kiafrica alisema La Liga hakupiga bao game 4 anasubiri Final Sio manchester ronaldo anaongea ongea tu jana alikuwa anapiga vi FAnta(vipepsi) Kwa Puyol.
ReplyDeletejamani mie sikuangalia mpira jana nilikua kazini, lakini nasikia eti manu hawakugusa mpira, du! hiyo nomaa,
ReplyDeleteYani midomo mireeeeefu kila siku,
nyoooooooooooooooooooooo
kaka michuzi ukweli mpaka sasa sielewi hiki kichwa jinsi messi halivyo kipiga...yaani raha tupu...red devils mpooooooooooooooooooooo..mkude
ReplyDeleteMessi with the headeeeeeeer!....Bro Michu huyu toto ya Argentina iliganda hewani kama sekunde 6 hivi ikamtoka looping header moja tamu sana! Sikumbuki hata kama niliiona reply siku ile yanii maana ilituchukua kama dk 3 hivi watu kurudi vitini si unajua mkubwa gemu kama hivi hazifai kuangalia sebuleni peke yako maana inaweza tokea kosakosa au mtu kapigwa dalizi ikakutoka neno baya mbele ya familia halafu ikawa soo! si unajua tena mzuka wa soka!
ReplyDeleteKweli shetani mwekundu jana aliigia kwenye zizi la kitimoto! shughuli yake ilikua balaa.
NB. kama ilivyo kwenye sigara napendekeza FIFA watoe tangazo kama la kwenye sigara kwamba "onyo ushabiki wa soka unaweza kuwa hatari ka afya yako!" Maana leo washabiki wengi wa Man United ama walitoroka makazini kwenda makwao kulala au walikua depressed sana ama walitwangwa absent makazini kwao yote ni outcome ya kichapo!
Manu kufungwa ndio game au munataka manu achukuwe makombe yote mbona munawapa kichwa manu kama waungu wa soccer tena ni timu kama timu nyingine tu inaweza kufungwa mbona limbukeni hivo.
ReplyDeletemimi kinachonishangaza kitu kimoja tu, kwanza michuzi anatumia mtandao jinsi anavotaka yeye. Pili hawa wanaandika hizi comments jee ni wapenzi wa barca au? kama si barca basi vichekesho kweli kweli haimake sense kabisa, teams zote hakuna alisema kitu juu ya kufungwa kwa manu kwasababu haitoingia akilini khs wao wameshindwa kuingia fainal. Manu anastahiki sifa zote, kwanza kucheza games 66, manu huyu huyu kaweza kuingia fainal tena ktk champions leg ni history, manu huyu huyu kaweza kubeba ubingwa wa english prem mara tatu mfululizo, manu huyu huyu kaweza kuchukuwa curling cup, world champions na kuweza kufika nusu fainal FA. Sasa ktk hawa wanasema wala hawajui wasema nini may be teams zao hata kikombe cha coca cola kimewashinda hapo ndio ninasema kweli watu washadata, liver, asernal, chelsea na teams zote sasa hivi wanaangalia next season ili kuweza angalau kutoka na kikombe japo kimoja nyinyi manu manu wakati manu anataka kubeba tena ubingwa wa english mara 4 mfululizo, Hemu angalieni team zenu ili muweza kuwachallenge manu sio kusubiri barca kashinda iwe soo kweli si zani kama nyinyi ni wapenzi wa barca kama barca mngenyamaza kimya.
DUU WALE BARCA WAMETUFURAISHA WANASAMBAZA MPIRA KILA KONA NIMEHESABU MPAKA NIMECHOKA PASI FUPI ZAIDI YA HAMSINI RAHA MIDOMO YOTE NAKWISHA SASA
ReplyDeleteOngera za Barca kwanza.Pili mimi ninacho shangaa nikuwa last year tuliwafunga hawa Barca na kuchukua ubingwa wa CL mwishoni.
ReplyDeleteTatu mwaka jana mazungumzo haya haya yalikuwa nani mchezaji bora Ronaldo au messi.Barca walipo fungwa na ManU,hamna mtu aliye sema ni messi.
Nne,ManU wamefika finali mara ya 2 mfululizo na pingine next year watafika final pia,who knows.
Kuhusu messi,bado nina question mark kibao.Argetina wamefungwa Goal sita in world cup qualification few month ago na messi alikuwepo.Katimu chenyewe cha south america.
Mjomba mjomba kile kibwagizo cha 'sisi mabingwa wa ulaya' kilinifurahisha sana, hasa kile kilichoboreshwa na kusema tutavunja rekodi... Mjomba FOOTBALL IS NOT PROPAGANDA ni dakika 90 uwanjani. ..Ooooh kombe la UK langu ...ooooh ulaya sie ndio wenyewe....Waaaapi bwana!! hehe Natania tu Mjomba, ila nikipata nauli nitakuja kukupa pole!
ReplyDeleteIts me Ndenje.
Nina hakika ile mechi ingechezeshwa na refa wa kiingereza MANU wangepewa penalti mara baada ya goli la Eto'o. Hiyo ingewapa nguvu ya kutafuta ushindi. Mara nyingi imetokea kwenye premier league pale MANU wanapoelekea kuzama wanatupiwa kamba na marefa wa uingereza na kuibuka na ushindi japo wa mbinde.
ReplyDeleteNi kweli mdau wa 3.00AM, nadhani wachangiaji wengi si wafuatiliaji wa mpira au hawajuwi nini mafanikio katika mpira.Michuzi tunajuwa mafanikio ya man u yanamkera na dio maana kila asubuhi atapost ili watu weponde.Hivi kwa nini tusianzishe mjadala vipi bwawa la maini,Arsenel,chers hawana hata kombe moja mpaka sasa na mabilioni waliontumia? mnawaponda man wana vikombe vitatu mkononi! hivi mafanikio ya timu ni kupiga pasi nyingi? nawe 9.26AM ina maana marefa walitoa penati za magoli 66 kwa man? acheni porojo na kujifurahisha kwa kushindwa kwa timu zenu na sasa kujifanya vibaraka wa Barca,mlikuwa wapi siku zote?wanafiki wakubwa na mabumbumbu wa mpira.mpira una matokeo matatu kufunga,kufungwa au kufungwa. sasa ajabu nini kwa man?
ReplyDeleteNi kweli safari ya Man U imeishia Roma,kujikumbusha safari za wengine zilipoishia nadhani si vibaya:-
ReplyDeleteArsenal safari iliishia Emirates(4-1)
Chelsea safari iliishia darajani(1-1)
Liverpool safari iliisha mapema(Anfield).
Habari ndiyo hiyo,ni sawa na kipofu kumcheka mwenye jicho moja(chongo),haya ndo maajabu ya dunia. Hiyo ni furaha ya kujilazimisha lakini moyoni wanaumia sana kila mwaka wao ni wasindikizaji tu.
Hivi Manchester ndio walimu wa Mpira Duniani?.Ina maana kufungwa na Barcelona ndio mmepata mkombozi ndio midomo yenu ikapata kuongea.
ReplyDeleteMimi nadhani kimpira Baca walikuwa juu kwa vile Alex alijifanya mjuaji akaboronga timu kwenye upangaji.Vinginevyo mngejuuta kupambana na Manchester.Kosa la Sir Alex limewafanya mpate kuongea."Pumu ipate kikohozi:
Mtaongea sana!
kwanza nawapongeza barca kwa dream win against the great. yaani world champs kama mmesahau. pili wewe michuzi this looks like no blog ya jamii anymore. ni fan base ya liva/man u haters or whatever, well i dont mind. usiposoma haiumi au sio. jamaa mmoja kasema barca best in the world followed by liva the european specialists. kanywe chai halafu ukalale na kama huwezi katafute usingizi kwa kuangalia muvi za kinaijeria soccer is not your game buddy. kama isingekuwa man u msingezungumzia uzuri wa barca sasa hivi. hakuna kosa (hasa ulaya) kuweka malengo, kupanga kushangilia, kupanga jina la mtoto kabla hajazaliwa; sometimes hata kuzikwa kabla ya kifo hata afrika wazee husema msinizike hapa, pale nk. soccer ni game. we should have fun as much as we can. Liva kabebwa mechi na portsmouth kaongezewa dk 5 ili apate droo na ikakubalika. barca kabebwa kuitoa chelski (pique handball) mpaka fainali akaitoa man nishai;... who knows kama man walipigwa rays za uchovu? umafia wa ulaya nina uhakika wengi mnausikiaga.
ReplyDeleteni hayo tu msiichukie man mkasahau chalenge za timu zenu wenyewe (hakuna barca hata mmoja hapa)
GLORY GLORY MAN UNITED. it has to stay that way for the better of the beautiful game.
Michuzi naona umewapata ulipotaka kuwapata imewauma eh hahaah! Kenge nyie. Roma pale iliwekwa History Na Timu moja namuachia michuzi ndio aseme timu gani ya Uwengereza Ilichukuwa mara Mbili Roma.
ReplyDeletehili Goli la messi sawa na lile la Ngasa alilowapiga wa ivory coast kule ktk chan
ReplyDeleteJamani ile ilikua embarrasement haijawahi kutokea katika footbali, yani Manu mpaka wanashindwa hata kuugusa ule mpira, ile ilikua aibu moja kubwa kwa timu kubwa duniani. Nawasifu Chelsea waliweza kuwahimili wale barca, lakini manu amecchemsha vibaya sana.
ReplyDeleteSooooooooooooooooooo
Maximo na Stockler mmeiona Barcelona? Tunataka timu zetu za taifa zicheze hivyo.
ReplyDeletewewEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeletehureeeeeeYYYYYY
kichapo..kichapo...kama mbwa koko
shenzy taipu man u ovyoooo..i told u,mkipata refa wa kuwabeba mwabebwa,mkikosa HAMNA mpira kabisa
BARCA OYEEEEE
awa wanaume 2
ReplyDeleteetoo na messi ata wanesema wanataka nini ningewapa tuuuuuu
wanaumeeeeeeeee...barca barca barca
kenya na nigeria wana visasi vyao tu wenyewe kwa wenyewe
mlendaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteshida mbelekozzzz haikuwepo
ReplyDeletepoleni
TV za kibongo wataonyesha marudio haya lini??
ReplyDeletetulikua kazini bwanaaaaa
semeni lini marudio??na TV gani???
nahamu nichekelee adi nife
hapa sio ze utamu kama unataka kuwapa messi na etoo mambo yako tafuta mtandao unaokufaa nyau we.
ReplyDeletehaya naona mnataka kuwafanay washabiki wa man u miserable kuliko wa assnill na livapresha walivyo. poa mradi kabati letu kila mwaka linapata mgeni hatuna tabu. ni jana wachezaji wakubwa kabis aduniani wameshangilia sana kikombe cha mbuzi hii inaonyesha ni jinsi gani man iko juu epl; man u tunastahili kuwa proud na tulichonacho nn kuforcus mbele for more silverware. nyie furaha yenu imeishia hapo makelele.
hizo habari za mbeleko waulize ballack nini alichokuwa analalamikia kwa refa siku ile chelsea na barca. ile ilikuwa barca siyo man u kaka.
ReplyDelete