Mdau Camara Henry Kadete akila pozi na mai maza wake Da' Chemi Chemponda baada ya kula nondozz yake katka chuo cha McDaniel College, Westminster, Maryland. Nondozzz yake ni ya Bachelor of Arts Degree.
Kwa picha na habari zaidi nenda kwa Da'Chemi http://swahilitime.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2009

    Bachela of atsi siku hizi ni sawa na darasa la saba la enzi za wakoloni...yaani kembriji andi oksifodi standadi seveni!!! ahhh vivango vya elimu siku hizi ni sawa na taswira ya kujipozi ya kumtambia jirani...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2009

    Kumbe da Chemi ni mama wa nguvu !
    Hongereni for the graduation !

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Camara! Still remember the days kunakimbizana chuo kikuu (kileleni and darajani) Wish ya all the best in your future plans!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2009

    Guys lets have some respect 4 one another, k! Sasa huyo nyambafff anaona mwenzake kagraduate na kwasababubu yeye ni form one drop out analeta huwiano usio na mbele wala nyuma!
    Hawa ndio wanatoka blog hile kutulete nyoyo za kwanini hapa.Get a life, period.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2009

    Daah! Mdau wa 12:44 una gere nini? Bado mdogo huyo mtoto ulitaka apate PH.d? Hiyo ni hatua kubwa nawapongeza Da Chemi na mwanawe. Kazi nzuri.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2009

    Kama bachela ni sawa na kumaliza la saba ina maana kumaliza la saba ni sawa na kumaliza vidudu? Watu wengine bwana! Na nina maana mdau wa kwanza aliyetoa pointless.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2009

    Wewe Anonymous wa kwanza kama huna cha kusema basi funga bakuli..Embu kwanza tueleze elimu yako...inaonekana huna elimu yoyote kutokana na maneno ya kipuuzi unayoongeaa

    HONGERA SANA CAMARA

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2009

    Hongera Chemi na mwanao, sikujua una kijana umri huo? There you go girl.
    Huyo wa maoni ya kwanza kweli ni mpumbavu na wivu umemjaa....kwa kweli hatakua hana degree kwani angeeshimu wenzake waki graduate. Hakuna haja ya kubisha na wajinga; wote tutaonekana wajinga.
    HONGERA SANA KIJANa.

    J, Toronto

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2009

    Mi nafikiri kumponda jamaa wa kwanza hapo juu hakuonyeshi kumpongeza kwetu mhitimu.

    Mpumbavu (simaanishi mjinga) akisema pumba werevu hunyamaza, no komenti no kwesheni. Huwezi kumwonyesha mpumbavu upumbavu wake. Kwa maana ukimwita kichaa "kichaa" atapinga na kukupiga akimaanisha si kichaa. Usimpe mpumbavu muda wa kutetea upumbavu wake.

    Hongera mhitimu.

    ReplyDelete
  10. Hongera mama na mwana. Kweli ametoka mbali, toka enzi zile za Mlimani praimari! Kila la heri!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 26, 2009

    Speechless! Kumbe huyu dada ana mtoto mkubwa hivi.....wow!!!!! Duh Hongera...I never know that...kila nikipitia blog yake nazaniaka ni mtu wa umri wangu tu....heshima yako dada yangu

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 27, 2009

    Hongera Camara na familia yako. Huwezi kunikumbuka kwani ulikuwa mdogo wakati tunakaa jirani Kileleni. Mimi dada yake Amani.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2009

    "I never know that" alah! back to kiswahili plz. Bado watu wanaendeleza libeneke la kuliforce!
    Tehtehteh!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 27, 2009

    msimponde sana anon wa kwanza anapoint, nadhani wote mnajua std 7 ya kipindi cha mkoloni ilikuwa na heshima gani ktk jamii na uongozi.

    namrekebisha, khs kusoma arts au science inategemea na uwezo wa mtu and often interest

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 31, 2009

    hongera Chemi, I knew you as a the small beutiful kid down the block nilipokuwa UDSM miaka ya 1978-82, you are still smashing.Mpe kijana wertu hingera!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...