Home
Unlabelled
pazi baskteball club enzi za mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii picha imenikumbusha mbali sana, hapo ninamuona Hadji, Abbas, na wengine sikumbuki majina yao, huyo wa kwenye kona kushoto ni kama Paul lakini sina hakika sana.
ReplyDeletekwa kweli nimemwona Abbas Mansour, alikuwa tishio (handsome) na tulimtesa sana tuliokuwa tunajigonga kwake kisha yeye hana time na sisi (mademu. Yuko wapi siku hizi?
ReplyDeleteThese guys really paved the way for kikapu in bongo....hands down! thanx for the memories.
ReplyDeleteThat is CLASSIC PAZI..hapo namuona THOMAS SHEMPEMBA,ABBAS MANSUR,ALI MSOMALI(mwenye Mpira),COACH KANGE,MZEE MALLAY(r.i.p)..those were the Good old days.
ReplyDeleteKBC
Duh hapo ilikuwa Zanzibar kutoka nyuma ni BJ,Dick,Abbas Mansour yuko Australia,Aziz Kateta,Saleh Zonga,Paul Nhigula,anaefuata simkumbuki vizuri,Siddy Kikenya alikuwa Denmark sijui kwa sasa yuko wapi wa mwisho kabisa ni mzee wa chama (Marehamu Mzee Malai) mungu amrehemu kafanya mambo mengi sana kwa Pazi BC waliochuchumaa Pacheli,Hadji,Thomas Shempemba,Dr.Hassan Mtwangi,Abdallah Aboud,Marehemu Raymond Ndeshau,Menrad Albert,Fundikira Kapaya na Mzee Kimaro hiyo ilikuwa Pazi ya ukweli mshikamano ulikuwa mkubwa sana baina ya wachezaji na Mzee Malai alitoa mchango mkubwa sana katika kuijenga timu Duh nimekumbuka mbali sana
ReplyDeleteThat is CLASSIC PAZI..hapo namuona...........,ALI MSOMALI(mwenye Mpira),......
ReplyDeleteKwa kusahihisha tu mwenye mpira ni marehemu Yusuf Omar(Msomali), ni kaka wa Ali Omar(Msomali) aliyekuja kuichezea Pazi miaka ya 90.
R.I.P.
Pompidou,
Dammtorwall 4,
Hanse-Viertel,
Hamburg.
Deutschland.
Duh Runner
ReplyDeletesio mchezo man kwani history ndio huwa zinarudia, hao jamaa hapo pichani walikuwa burudani na mfano kwa vijana wote ambao waliokuwa wapenzi wa kikapu, sisi watoto wa maghorofani Ohio nakumbuka tulikuwa karibu sana na chama letu P.B.C 4 life man....
mwenye mpira ni Abdallah Aboud siyo Ali Msomali
ReplyDeleteWakati huo Ali Wagad (msomali) alikuwa mdogo sana kama utakumbuka ata Magnet (timu B ya Pazi) ilikuwa bado hajaanzishwa mimi mwenyewe nilikuwa mdogo bahati mbaya marehemu Mzee Kimario alikuwa hayupo
ReplyDeletePicha hii ilipigwa Zanzibar wakati wa Fainali. Toka kushoto waliosimama:BJ-Ball Juggler, Dick-ana undugu na Sidi Kikenya alikuwa anafanya kazi Tazara, Abbas Mansoor-yupo Australia, Aziz Kateta kama unataka kujua hupo wapi uliza mkuu wa ATC mzee Mattaka, Saleh Zonga bado yupo Tanzania, Hassan Kange bado yupo Tanzania alikuwa anafanya kazi Bima, Paul Nhigula yupo Tanzania, "Mpenzi wa Pazi alikuwa rafiki wa Abbas Mansoor", Sidi Kikenya yupo Uingereza, Teacher-ametutoka, Serve Malai-Ametutoka Mungu muweke mahali pema popeni. Kutoka kushoto walikaa: Pacheli bado yupo Tanzania, Haji yupo Dermank, Thomas Shempemba bado yupo Tanesco Tanzania, Dr.Hassani Mtwangi yupo bodeni South Africa, Coach and Mentor Abadalah Aboud-yupo Tanzania, Marehemu Ray mungu hayupo nasi, Menradi yupo Tanzania, Fundikira Kipaya-yupo Australia na Mzee wa chama wa Shirika la chuma Kimario-sijue bado yupo Dar au amerudi Moshi. Haya Michuzi Kikosi hiki ndiyo kilikuwa Changamoto ya Mpira wa Kikapu Tanzania na nina chalenji Rais wa Mpira wa Kikapu sasa kurudisha kiwango cha Mpira siku tulio kuwa tukicheza. Swali nani alivunja nguvu ya mpira wa Kikapu Tanzania? Mimi bila ya kuonea aibu ni uongozi wa dola uliovunja uwanja wa Gymkhana na kujenga Hoteli na kuwatenganisha Pazi. Jamani swala hili nilazima tuliangalie upya.....Magazeti
ReplyDelete