MH. MICHUZI NA WADAU WOTE WA GLOBU YA JAMII,
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MPOKEE VIDEO HII IWE KISINDIKIZO CHA SALAMU ZANGU ZA SIKU YAWAFANYAKAZI DUNIANI YAANI MEI MOSI.
NISALIMIENI PIA MADEREVA WOTE WA DALADALA (HASA YULE ALIYENIPIGA PASI NILIPOKUJA VEKESHENI BONGO MWAKA JANA), MADEREVA WA VIBAJAJI NA MADEREVA WA TEKSI BUBU WOTE WA TEGETA, BILA KUSAHAU MATRAFIKI WOTE.
UJUMBE: TUHITIMISHE SIKU HII YA MEI MOSI KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA USTADI KAMA HUYO MDAU MBEBA TOFALI WA INDIA
BARAKA CHIBIRITI
MDAU WA CESENA,
ITALY
Mh!!! Chibiliti umerudi????? sio siri nilikumiso mno, haya nangoja kuvunja mbavu zangu kwa majibu utakaopewa!! Upweke siku hizi umekutoka??
ReplyDeleteWow!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteduh aisee mzee chiberiti wa chibatari umepotelea wapi au bibi kakubana haha..
ReplyDeleteDuuh, hii kali! Unajua nilishaskia India hawatumiagi crane kwenye ujenzi ma maghorofa nikabisha, sasa nimeamini.
ReplyDeleteChibiriti mbona umetuharibia shughuri? Leo sikukuu ya wafanyakazi, lakini imenijaa huzuni, hasa baada ya kuona mfanyakazi wa kikwelikweli.
ReplyDeleteDoh!hata bongo kunashida,lakini haijawahi kutokea kama hiyo,au jamaa ni mtu wa mazingaombwe?
ReplyDeleteChibiriti,
ReplyDeletePikipiki uliuza? Ninahitaji kwa ajili ya shughuli zangu sikumbuki ilikuwa ni model gani. Ikiwa bado unayo ninahitaji kufahamu.
Mungu wangu Chibiriti.
ReplyDeleteDu! huyo jamaa uti wa mgongo wake lazima utakuwa na SUSPENSION za uhakika
ReplyDeleteKaka Chibiriti vipi ulizira? Karibu tena hapa kwenye globu ya jamii, hajambo my wife wako
ReplyDeletehe hayo matofali yana sumaku? hayaanguki? lo siwezi kupita karibu yake ngó. Kweli hakuna lisilo wezekana!
ReplyDeleteKoku
Jamani nipo tuu, na naendeleza siku zote kuwa mdau mkubwa sana wa blog hii ya Jamii, sikuzila kabisa, majukumu yamenizidi sana, lakini baada ya mda nitarudi hali ya kawaida wala si my wife wala nini, box zimezidi tu.
ReplyDeleteHa ha ha ha ha ha!!
ReplyDeleteYaani nimecheka hiyo mpaka duh!!
The picture must have been photoshoped,how can it be possible.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha,mimi nimebeba sana matofali lakini hapo nimechemcha,duh!!
Mkulima-kijijini Gezaulole.
HI Chibi,
ReplyDeleteMimi ni mdau wa Construction Health and Safety. Naomba unitumie link au video hiyo kwenye e-mail yangu chenjewele@yahoo.com. Nitakushukuru sana maana itafaa kuwafundishia wajenzi wapya.
Tafadhari, take it serious
kwa hesabu ya haraka haraka jamaa amebeba matofali ishirini na mawili lol.
ReplyDeleteKweli jamani mnaokula Tax za watu na mafisadi sio vizuri mnaona vibaba vya kazi na mama wa kazi hapo? nimesikia kama backround mzungu anasema They is Noway. tofali jibaba ataweka tu juu.
ReplyDelete