Familia ya Dr. F.C. Kahabuka wa kijiji cha Buhangaruti, Mugana Parish, Bukoba, Inapenda kutoa shukrani za dhati kwa ndugu jamaa na marafiki wote waliojumuika kwa hali na mali wakati wa msiba na mazishi ya mama Mrs. Ernestina Kahabuka aliyefariki tarehe 15/04/2009 nyumbani kwao na kuzikwa tarehe 18/04/2009.
Misa ya kumuombea marehem Mwl. Ernestina Kahabuka itakuwepo tarehe 30/05/2009 saa moja asubuhi katika Kanisa Katoliki la Moyo Mtakatifu wa Yesu Manzese, Dar Es salaam.
Mumeo- Dr. F.C. Kahabuka, wanao-Anny, Oliva, Mary, Prim, Pelagia wanakukumbuka sana kwa sala. Mwenyezi Mungu akuweke mahali pema peponi.
TULIKUPENDA SANA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI.
AMINA
We will miss you bibi...Surely Mungu amekupenda zaidi...
ReplyDeleteMy heart goes out to the family...People and the lord's word tell us that there is no greater love than love of God, but if one can love you whole heartedly definetely a mom does. They sacrifice so much for us. For those who have their mom still living..take a moment this week and tell your mom how you appreciate and love them...you never know when this words may be the last.
ReplyDelete