Jina lake kamili ni Babu Sinare. Hivi sasa makazi yake makuu ni pale Columbus,Ohio nchini Marekani. Ni msanii mpya wa muziki wa kizazi kipya.Jina lake la kisanii ni Albino Fulani. kwa habari zake zaidi pamoja na kusikia kibao chake cha 'Barua kwa Mama' nenda Bongo Celebrity

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2009

    He is handsome.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2009

    Biashara

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2009

    Nimekubali... mziki mkali!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2009

    ebwana nimekwenda kwenye show ya huyu jamaa... nnachoweza kusema ni kwamba wasanii wajifunze kutoka kwa albinofulani... muulize mtu yoyote aliyekuwepo Columbus ktk hili tukio... utashangaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...