Mwanamuziki mashuhuri wa Tanzaniana Afrika Mashariki Ali Kiba (kulia) akiwa na mtangazaji Sunday Shomari wakati alipotembelea studio za Sauti ya America aka VOA Washington Dc akiwa katika ziara yake ya Marekani hivi karibuni.
Ali Kiba bado anatesa Marekani akiwa na meneja wake Guru Ramadhani na walifanya naye mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Burudani wa Sauti ya Amerika. Unaweza kusikiliza mahojiano kamili kati ya Ali Kiba na Sunday Shomari kwenye tovuti ya VOA:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2009

    Tanzania men, looking good!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2009

    Bro,

    Hebu acheni kumtia ujinga Ali Kiba.

    Kafanya ziara kibao Ulaya na Amerika. Lakini hamsemi;

    1: alialikwa na nani?

    2: Aliperform wapi? Ukumbi wa namna gani?

    3: Ameuza record ngapi? Amewahikuuza record zaidi ya 50,000 katika mwezi mmoja?

    Nitarudi baadaye naenda kazini.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2009

    http://www.youtube.com/watch?v=uX-joc_O9X4 ALi Kiba tizameni Kapigwa kibano.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2009

    sorry

    sunday shomari umeoa??yan namanisha una mke wa ndoa?

    nna maana yangu

    nijibu tu dear

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2009

    annon #1

    always do...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...