Hasheem Thabeet mmbongo anayezidi kuvuma huko USA kwenye mchezo wa kikapu ameongea na kituo cha michezo cha ESPN kuhusu safari yake ya kucheza NBA. Je, unataka kujua amesema nini? gonga hapo chini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Gloria Temba, Polaris, OHJune 20, 2009

    This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2009

    Pole dada hiyo ni original slang yake toka zamani tafuta makalimani
    bro big up!! you rock all !!kaza buti..nasis nduguzo tunakuombea kwa mola ufanikiwe.
    from zenji

    ReplyDelete
  3. Al MusomaJune 20, 2009

    Good lad. You make proud, pround of Bongoland and all that come out of it - filtered...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2009

    Nyie Watanzania mnatizama kiengereza wenzenu watu wa South America hata hawajali kuhusu kuongea kiengereza wala kuchekana kuhusu kuongea kingereza mwacheni acheze kikapu awawekee jina. www.nba.com nba videos ndio mtaona video zaidi za draft na hasheem na mabingwa LA LAKErs. Mswazi .

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2009

    Whats wrong with his English Gloria?? just because you are in Ohio dont mean you know everything. Hasheem rocks and thats that..keep it up bro and as a proud Tanzanian,I wish you well in all you do...God bless.

    from lady in the UK

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2009

    semeni tena ni mkenya enyi wakenya kama alikiba na mlima klm

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2009

    Oohhhhh Go baby boy !!!! you are making me and everyone in LA so proud, you really opened the doors of opportunity and we (TZ) should follow your foot steps!!!! You are a one tough cookie man!!! Great job Hasheem!! Keep rolling man!

    Proud of u big time,...
    LA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2009

    Thank Kaka Michuzi!
    People should stop using majina ya watu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...