Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Dietlof Mare akimsalimu Mwanafunzi wa chekechea Bahati Christopher ambae ni mototo yatima katika kituo cha SOS Children’s Village kulichopo Sam Nujoma road.
Mhasibu Mkuu wa Bodi ya kituo cha kulelea watoto yatima cha SOS Children’s Hilary Biduga(kushoto)Akimuonyesha mazingira ya kituo hicho Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Dietlof Mare(kulia)alipotembelea rasmi na kuaidi kutoa msaada wa kompyuta na Luninga.(katikati)Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba.

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Dietlof Mare,akipanda mti kwenye kituo cha kulelea watoto yatima SOS Children’s Villages kulichopo Sam Nujoma road alipotembelea rasmi leo na kuaidi kuwapa msaada wa kompyuta na Luninga


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2009

    Bongo sio watu wote wnakula vumbi. Hebu muangalie huyo mwanadada hapo alivyong'aa

    Bongo, Here I come....2010

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2009

    Mwanakijiji anataka watu wagomee Vodacom... kweli mabox yanachanganya watu akili.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2009

    Mwamvita Makamba, She So Damn Beautiful!, look that dress! look the way it fit her!, Look the figure!, and her skin colour!... she just like an angel, I wish you could be mine!

    Love u Mwamvita Makamba.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2009

    Mwanvita looks really pretty in that dress, nice color on her and fits her perfectly. Mwaaa!

    Smart, focused, beautiful, strong woman. Way to go girl. Tuwakilishe.

    Big fan of you!

    ReplyDelete
  5. Hii ni kazi nzuri ya kutembelea hawa wanyonge hapo SOS.

    Tunatakiwa tuige mfano huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...