dogo yuko juu, si mchezo. mapromota ughaibuni mpo???
Most read Swahili blog on earth
dogo yuko juu, si mchezo. mapromota ughaibuni mpo???
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kijana yuko juu! wimbo umetulia, thanks kaka Michuz kwa kuturushia kibao! Keep it up Marlaw.
ReplyDeleteNami nakubaliana na maoni yako. Kijana ni mwimbaji mzuri. Juzi niliupiga huo wimbo wa "Pii pii" kwenye mkusanyiko wa TZ niliowaalika nyumbani kwangu hapa kijijini, wengi ilikuwa ni mara ya kwanza kuusikia lakini waliupenda sana.
ReplyDeleteKwa maoni yangu Marlow ana uwezo sana kama alivyo Ali Kiba, ila hajabahatika kupata promota mzuri.
Natumai hali hiyo itabadilika hivi karibuni.
Kazi nzuri Marlow!
Mdau
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/
Marlaw upo juu sana. Kila la kheri katika kazi yako ya mziki, ninaamina mafanikio makubwa utayapata muda si mrefu
ReplyDeletemarlow anatisha kuliko kiba... hata kwenye maconcert ya kimataifa dogo anakubalika Yaani kwA kifupi HABAATISHI,,,,,!
ReplyDeleteMALAYSIA
wimbo mzuri sana marlaw...
ReplyDeleteumejitahidi kwa kweli..
naona mnamtafutia soko la shoo za nje kwa nguvu zoote!!! si kazi baadhi ya anonis hapa ni michuzi mwenyewe na nyingine ni zake mwenyewe! teh teh teh!!! dogo ngoja nikakuuze leo kwa promota mmoja hapa ujerumani
ReplyDeleteKaka Michuzi shukrani sana kwa kutuwekea kibao MURUA cha Marlaw, kwa kweli kijana Marlaw yuko juu sana, yeye si mbanaji pua kama vijana wengine wanaopenda kuwa marekani au ulaya kila kukicha, Marlaw unamuona kama anaimba na sauti yake natural.
ReplyDeleteKeep it up Marlaw!
Muziki mzuri sana. It really made my day haswa ukiwa mbali na nyumbani.
ReplyDeletesafi sanaaaaa
ReplyDeletekeep it up dogo!
Wimbo mzuri sana, una melody nzuri, maneno mazuri ya mapenzi. Video nzuri pia inatukumbusha nyumbani sisi tulio mbali, barabara za Dar, daladala, traffic lights, bajaj lakini zaidi ni lile kawa na maneno yake. Umefanya vizuri kwa wimbo na video pia. Keep it up!
ReplyDeletenice tune,
ReplyDeleteshame that the same cannot be said about the video
Ndiyo, kijana anajiweza sana hususani katika sauti yake duuh!
ReplyDeleteMashairi yanaimbika na wimbo unachezeka inategemea audience yake huwa inaguswa na kipi,BUT mashairi sometimes yanajikanganya so ni hilo tu otherwise hes guuuud
Mnyalu mwenzangu uko juu sana mtu wangu kuliko Kiba..maringo tu kama demu ..........Marlow juuuuuuuuuu
ReplyDeleteEXCELLENT SONG! Nimeupenda sana.
ReplyDeleteKwa huyo aliyom-compare na Ali Kiba, shame on you! Kila artist ana style yake and they are both good in their own way.
Nashukuru Bro. Michuzi kwa kutuma hewani huu wimbo na video yake! Kijana huyu ametulia na mziki wake ni mzuri sana ana sauti ya GOLD I can see a lot of pontentials in this guy!! Nimekuwa nikisikiliza wimbo huu na nimekuwa nimeurudia mara kwa mara mpaka track inakwaruza. Nilikuwa ninafikiria kumiliki huyu bwana na atafanya biashara nzuri sana. Kwa huku marekani ninamfananisha na waimbaji kama Akon, na John Legend. Nitamshukia bongo huyu kijana na kuzungumza naye business.
ReplyDeleteKatika wanamuziki wanaoimba nyimbo za kusisimua na zenye mantiki huyu ni mmoja wao.
Keep it up!
Mdau USA
naah, no way
ReplyDeleteKwa Ujumla Marlaw yupo juu zaidi ya Ali kiba, Umesikia wimbo wake wa Bembeleza, ukitaka kupata tungo zilizopangiliwa sikiliza Marlaw. Asante kwa kutuweka sawa leo kija, kaza Buti gemu bado ni gumu
ReplyDeletedu dogo yuko juu kibao chake kimenibamba kweli kweli
ReplyDeleteNyote niutoto unawasumbua mkikuwa mtaacha
ReplyDeleteDogo yupo juu kuliko maelezo.Ila kuna kitu kimoja tu ambacho lazima niseme.
ReplyDeleteWimbo ni mzuri mnoooooo,lakini video haijanifurahisha,hakuna creativity,nilitegemea kuona video inayoreflect ubora wa wimbo.Nina maana jinsi wimbo ulivyo mzuri,basi video nayo haikuwa na budi kuwa nzuri vilevile.
Jamani hii ni constructive criticism yenye nia ya kumjenga huyu bwana mdogo.
Mdau
Nyimbo kali kinoma lkn video bado...Shooting bado bado naona, we need improvements in that area.
ReplyDeletepia wasanii wangeanza kucheza, ktk hiyo video naona wanacheza style ya mwaka 2002 ambayo iliingia bongo kutoka Jamaica.
Tukitaka kushindana kitaifa inabidi tuongeze nguvu. Waganda wenzetu wamejaribu...Mfano mzuri Obsession girls.
Yangu macho tuu katika jamii hii ambayo imeshasalimu amri katika kitu chochote kinachohitaji kutumia akili.
ReplyDeletehivi huu wimbo ni wa kiswahili au kiingereza?
ReplyDeletejamani mi laptop yangu ni aje????!!! nikipiga nyimbo hii sisikii sauti, naona kale kamshale kanakwenda mble freshi lakini sisikii chochote!
ReplyDeleteMARLAW YUKO JUU ZAIDI YA ALI KIBA
ReplyDeleteSIKILIZA
BEMBELEZA, RITA, PIPI NA NYINGINE NYINGI TU.
nISIPOSEMA NENO NITAKUWA MCHOYO WA FADHILA. KWA KWELI kijana yuko juuu sana. wimbo huu ukipigwa wanangu wananiambia mama wimbo wako unapigwa njoo usiklize. basi kwa mapenzi hayo wakaurecord nikirudi tu nyumbani baada ya salaam dogo ananiwekea, nikamuuliza ina maana hii nyumba kila nikiingia huu wimbo ndio uko hewani? wakasema hapana tumekuwekea kwenye laptop yako dada anasema atakuburnia cd.
ReplyDeleteSO U CAN IMAGINE HOW JUU THE BOY IS TAKING SOME of US WENYE MATUSI KAZI KWENU.KUCHANGANYA LUGHA na letters SIO ISSUE. issue ni burudani.
wal'ai unaweza acha mumeo utoke na uyu mtoto
ReplyDeleteaisee kijana,unawaweza mashoga mami??
me nimekupenda nataka nikutunze baby boyyy
yan huu wimbo uwa nacheka tu,jinsi unavonikuna
majina yake kwa urefu plizzz
ReplyDeletebela u wa kuboma?mwagito wewe?
u mwa nani?
mithupu usibane hii acha wanyalukolo wanijibu
habari mkubwa?
ReplyDeleteme namtaka kijana nimfanyie mpango aje uku ughaibuni kwa tour, vp ninaweza kumpataje? kama una mobile no yake au email nidondoshee mkuu, my email is jibaba@hotmail.co.uk
Thanks in advance
Mdau No 1
We annoni wa June 24, 2009 7:08AM nenda kwenye device manager kisha update drivers za sauti lazima utakuta zina alama ya kuuliza yenye rangi ya njano, jaribu ku update ukiwa online,ukishindwa tafuta drivers za aina ya computer yako. mfano kama computer yako ni dell latitude D600 hakikisha unatumia driver cd ya computer aina hiyohiyo vinginevyo waweza crush computer yako.
ReplyDeleteMarlaw na Ally Kiba wote jamii moja na wote wanajitahidi. Hongera kwa kila mmoja wenu
Asante bro michuzi kwa kutuwekea hii videoz ya marlaw
ReplyDeletekifupi dogo anajitahdi bt watu wanaocomment hawazingatii kilichowekwa na kuchangia wanachokiona ulichoweka Michuzi ni blah blah tu nyingi kwa walio wengi,nauliza y most of the comment alikiba na marlaw?
kwani michuzi anashindanisha hapa? si ni vid ya marlaw?
Wabongo tuache malumbano km marlaw yupo juu zaidi na anahitajika ughaibuni km mwenzake ali then tym yake itafika na matangazo tutayaona kwa bro michuzi,so nachoshauri tuwe na cha kuongea na sio blah blah,tukumbuke hatuna wanamuziki wengi toka Tz wanakwenda ughaibuni km wenzetu wakenya so tujitahdi kuwasaidia wasanii wetu wa Tz kwa promo ktk media zetu na tununue kazi zao ndio tutafanikiwa haraka haraka kuwa na wasanii wengi watakaoenda fanya show nje,marlaw umejaaliwa kipaji lakini ongeza juhudi uwe na nyimbo nyingi za kuweza piga show ya masaa mawili au moja na nusu,navyojua una album lakini track zinazojulikana ni 3 tu,so jitahdi mdogo wangu ili nawewe ututoe wabongo kimuziki,video yako sikulewa vizuri y umeamua kufanya story sehemu mbili au ni kulitafuta soko la kenya na tz?
Navyowajua wabongo wataongea sasa hivi kama ilivyo alikiba au hussein machozi......big up kwako
Mungu ibaririki Tanzania Mungu ibariki Bongo fleva
MDAU WASHNGTN DC
Asante