supa modo flaviana matata aongea nna globu ya jamii akiwa sauzi
Home
Unlabelled
flaviana matata alonga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
supa modo flaviana matata aongea nna globu ya jamii akiwa sauzi
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Intelligent, hardworking, humble, andambitious. Above all, she looks natural to me. What else would a man ask for in a woman?
ReplyDeletei like her, hajishaui, anaongea ukweli mwingii....kila la kheriii Ma.
ReplyDeletewadau nisaidieni,kuvaa hereni tofautindio fashion mpya siku hizi?
ReplyDeleteviva dada...ila bado kwenye dialogue....hajajua kutulia kujibu maswali in a professional way...cause wether unamjua reporter or not unatakiwa kuwa na professionalism cause the dialogue inaweza kuwa broadcast popote...humor inaruhusiwa ila sio inapitiliza mpaka mtu unakua kama unahojiana na mshkaji
ReplyDeleteotherwise kudos dada fuatilia mambo ya kuhojiana ili uweze kuwa confortable
Dah she is beautiful, Keep it up flavian. mdau finland
ReplyDeleteNakubaliana na mdau anonymous wa 6:17 pm, kwamba kwa hali yako ya kujitangaza kibiashara, inabidi uwe na lugha ambayo ni professional. Unajitahidi sana katika mahojiano, lazima tukupe credit.
ReplyDeleteEndeleza libeneke katika mihangaiko yako ya maisha!
Nakapenda sana haka katoto.
ReplyDeleteWe Flaviana unasema uko ''single and ready to mingle'' hala hala mwanangu! utafanya mafisadi na mapedejee wakupandie ndege si unajua hela zetu za EPA bado hatujamaliza kuzikusanya!
ReplyDeletesijaona kibaya alichoongea,ameongea vizuri sana alafu anaonekana ni mtulivu asiye na majivuno mwenye mtazamo.
ReplyDeleteongera flavia.
mdau america.
Hongera Flavi mahojiano mazuri na nimependa unavyojieleza.
ReplyDeleteUmejibu maswali ya Michu sio kwa "copy an paste" ila kwa uhalisi wake..
Simple an clear ...ujumbe umeeleweka.Kila jema katika mchakato wa mitindo
misupu una sauti ya ZEGE ivo??full kujiachia,taratibu usivunje ndoa za watu kila mtu ana ugonjwa wake...lahaulaaa...
ReplyDeleteafu sasa sauti zenu na flaviana zinavoenda duh mwanangu hahahaaaa no wonder mikonozzz ilishindwa kujizuia!!! teh teh teh
dah katika video clip zote hii imenikata maini hahahahahaaaaaa
mtoto naona umehakikisha um-muvuzishe adi anapoondoka teh teh
unalipa kinoma modo
kipedo cha flavi me hoi
ReplyDelete