supa modo flaviana matata aongea nna globu ya jamii akiwa sauzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2009

    Intelligent, hardworking, humble, andambitious. Above all, she looks natural to me. What else would a man ask for in a woman?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2009

    i like her, hajishaui, anaongea ukweli mwingii....kila la kheriii Ma.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2009

    wadau nisaidieni,kuvaa hereni tofautindio fashion mpya siku hizi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2009

    viva dada...ila bado kwenye dialogue....hajajua kutulia kujibu maswali in a professional way...cause wether unamjua reporter or not unatakiwa kuwa na professionalism cause the dialogue inaweza kuwa broadcast popote...humor inaruhusiwa ila sio inapitiliza mpaka mtu unakua kama unahojiana na mshkaji
    otherwise kudos dada fuatilia mambo ya kuhojiana ili uweze kuwa confortable

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 19, 2009

    Dah she is beautiful, Keep it up flavian. mdau finland

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2009

    Nakubaliana na mdau anonymous wa 6:17 pm, kwamba kwa hali yako ya kujitangaza kibiashara, inabidi uwe na lugha ambayo ni professional. Unajitahidi sana katika mahojiano, lazima tukupe credit.
    Endeleza libeneke katika mihangaiko yako ya maisha!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 20, 2009

    Nakapenda sana haka katoto.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 20, 2009

    We Flaviana unasema uko ''single and ready to mingle'' hala hala mwanangu! utafanya mafisadi na mapedejee wakupandie ndege si unajua hela zetu za EPA bado hatujamaliza kuzikusanya!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 20, 2009

    sijaona kibaya alichoongea,ameongea vizuri sana alafu anaonekana ni mtulivu asiye na majivuno mwenye mtazamo.

    ongera flavia.

    mdau america.

    ReplyDelete
  10. Hongera Flavi mahojiano mazuri na nimependa unavyojieleza.

    Umejibu maswali ya Michu sio kwa "copy an paste" ila kwa uhalisi wake..

    Simple an clear ...ujumbe umeeleweka.Kila jema katika mchakato wa mitindo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2009

    misupu una sauti ya ZEGE ivo??full kujiachia,taratibu usivunje ndoa za watu kila mtu ana ugonjwa wake...lahaulaaa...

    afu sasa sauti zenu na flaviana zinavoenda duh mwanangu hahahaaaa no wonder mikonozzz ilishindwa kujizuia!!! teh teh teh

    dah katika video clip zote hii imenikata maini hahahahahaaaaaa

    mtoto naona umehakikisha um-muvuzishe adi anapoondoka teh teh

    unalipa kinoma modo

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 22, 2009

    kipedo cha flavi me hoi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...