judith daines isambwa mbibo a.k.a lady jay dee a.k.a binti machozi amefiwa na shangazi yake. si vibaya ukamtembelea na kumpa pole kwenye libeneke lake la

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2009

    Mbona majina mengi hivi jaman, mara Judith wambura, mara judith daines isambwa mbibo, mara judith G Habash, eeh!. Mnatuchanganyaa!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2009

    Hivi wewe kaka Michuzi hebu tudadafulie nini hasa maana tunaona unamahaba ya dhati na Jay dee sana.!!!!???? Kulikoni????!!!! Jay dee amefiwa na shangazi yake umetangaza AY amefiwa na yule wa karibu hasaaaaaa hujatangaza. Whyyyy?????

    Au ndio ile tunayosema negative na negative haziendani lazime ziwe -ve na +ve?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2009

    heheheeee imebaki tuu kuitwa Judith Michuzi maana naona Sir name zake kibao.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2009

    Asante brother kwa support, love you always

    JIDE

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2009

    Mbna mnaacha sinia la ubwabwa mnakazania kachumbari?
    Jide amefiwa tumpe pole.
    Mjadala wa majina yake kwa nini usiwe baadaye!
    POLE BINTI MACHOZI.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2009

    Thanks Michuzi for posting this. Flora is my shangazi too. I would not have seen the funeral pix if you did not post this on here. Thanks a lot.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 08, 2009

    naona ghafla bin vuu sura ya bibie imekuwa soft....whats the secret?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...