Waziri wa nchi ofisi rais dk batilda burian akiangalia Bani la kukaushia Tumbaku wakati wa wiki ya Siku ya Kuadhimisha Mazingira Duniani Mkowani Tabora KUlia Afisa Mafunzo {ATTT } Bw Michael Mshga Mkurugenzi Idara ya Misitu na Nyiki Dk Kahama Kilabuka na Mkuu wa Wilaya Tabora Mhe Mussa Chami Kaulimbiu Wananchi Tuungane Kukabiliana na Maadiliko ya Tabianchi
. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akiangalia Jiko la Sola Kwenye Maonyesho ya Wiki ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika Mkowani Tabora KUlia Mratibu wa Kikundi cha Jumuia na Maendeleo Tabora Kushoto Mkuu wa Wilaya Tabora Bw Mussa Changa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2009

    Mazingira sio Mazingita!
    Buriani na sio Burian!! People hivi kiswahili si lugha yetu au!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2009

    Wewe anony 3:46 Mwangalie kwanza kichwa kile! wewe mwenyewe unalalamika kiswahili na People ni nini kibemba!!!! Ovyooooo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2009

    WIZI MTUPU

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2009

    Hapa ndio mahala kwa DR.SHAYO WA UK kwani amebobea masuala ya mazingira.

    ReplyDelete
  5. muadilifuJune 05, 2009

    Michuzi, Mkurugenzi idara ya misitu na nyuki ni Dr. Felician Kilahama

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2009

    mkuu wa wilaya anaitwa MOSHI CHANG'A

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...