

Tarehe 5 Juni 2009 Jumuia ya Watanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Tanzania Association in the Emirates, TAE) ilifanya uchaguzi wa viongozi wapya watakaoiongoza jumuia hiyo kwa muda wa miaka mitatu ijayo.
Mkutano huo ulifuatiwa na shuhguli za kutunisha mfuko wa jumuia kwa Mhe Balozi kunadi kadi nambari 01 hadi 05 za Jumuia uuzwaji wa fulanazz na kapelozzz za Jumuia pamoja uzinduzi tovuti ya Jumuia hiyo ambayo ni www.watanzania-uae.com
Viongozi wakuu wapya wa
jumuia ni kama ifutavyo:
-Bw. Muhammed Shariff Mwenyekiti
-Bw. Mbarak Ahmed Naibu Mwenyekiti
-Bw. Shabir Damji Katibu Mkuu
-Eng. Issa Majid Maggidi Naibu Katibu Mkuu
-Bw. Mohamed Manji Mweka Hazina
-Bw.Hassan Ally Abri Naibu Mweka Hazina
-Bw Abdulrahman Hassan Mkurugenzi, Kurugenzi ya Jamii na vijana
-Bi Rahma Buheti Mkurugenzi Kurugenzi ya Wanawake
-Bw Isaac Peter Mkurugenzi Kurugenzi ya Mawasilano na Uhusiano
Huko sisi wengine hakutufai.Hata kinywji kikali kimoja hakuna !!
ReplyDeleteNitashindwa kupata ile kitu roho inapenda !!
Hivi wtz waliopo huko ni waislam watupu?? Hata kama ni Uarabuni.... Enzi za mwalim safu hiyo ingepanguliwa!!
ReplyDeleteDu hizo 7ups! !!!!!!!!!!
ReplyDeleteHaya Ndo Mambo Ya Kuigwa Sio Matawi Ya CCM Ughaibuni Aibu
ReplyDeleteANONYMOUS WA PILI, TARATIBU NDUGU YANGU, WEWE MTU MZIMA NA TUNAKUHESHIMU.
ReplyDeletewww.watanzania-uae.com vipi washikaji huko hakuna nafasi za kazi mbalimbali ambazo wabongo tunaweza kuja kufanya UAE kama walivyojaa wapakistani, wa-misri n.k
ReplyDeleteVipi kuna uwezekano wa kuongeza ktk webusaiti yenu masuala ya kazi, vyuo n.k ktk UAE?
Maana Tanzania na nchi za ghuba tuna uhusiano wa jadi, hivyo Mh. Balozi Maharage na Wadau waliopo UAE tuunganishieni michongo kwa technohama tuweze kusaidia uchumi wa bongo.
Mdau
Bosco
DSM.
Mdau wa Dar es salaam, Bosco,
ReplyDeleteSalaam wazo lako ni zuri na lina fanyiwa kazi.Ahsante sana
Ubalozi/AbuDhabi
uongozi kavua nyani anapewa ngedere!
ReplyDeleteduh...wadosi hapo pia wamo...jitahadharini mifuko yenu,manaake mbongo bado mnyonge!!!
ReplyDeleteannon wa#2,,swali lake zuri tu tena saaaana
ReplyDeletewee annon unaesema eti "taratibu tunakuheshimu" wee ndo nyamaza
mana apo ukiangalia kuanzia balozi "simply"ni nchi ya kiislam au??na mwenyekiti sijui na nani
ivi udini utaisha lini?dini zenyewe sio asili yetu waafrika afu tumekalia izo imani ambazo practicability yake ni F
tufanye kazi,tusome weee,tutunza familia zetu...full stop
me nafikili uhuru wa kuabudu wengine unafinywa sana na utafatiliwa weee adi urudi kwenu
afu mijumuiya ya nini,ivi nyie nanyi hamjifunzi kwa wezenu kule kwa waosha vizee?
ni hayo
mnalia sahani gani izo???
ReplyDeletekazi kweli,na nyie pia jumuiyazzz??