Kali ongala akicheza ice hockey sweden. pia hucheza soka
machupa akiwa mzigoni sweden na timu yake
Michuzi wabongo Mohammed Rabab (Machupa) na Kali Ongala wanaendeleza libeneke hapa Sweden kwa kwenda mbele.
Ingia kwenye link hii www.nt.se au www.folkbladet.se search Mohammed rajad hata kwenye google pia picha utaziona jina lake wanalikosea badala ya Mohammed Rajab wanaandika Rajad kwenye Magazeti ya hapa.
Nyingine hiyo ni Kali Ongala Akicheza Ice hockey.
Mdau Stockholm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2009

    baaab kubwa , kila heri wazee :))))

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2009

    mdau ulietuma hii post bila kutufafanulia anacheza klabu gani na iko daraja la ngapi kwa kutuonyesha tu picha bado haitoshi kwavile kuna maelfu ya wabongo wanaoweza kutuma pia picha kama hizo hapa sweden,hayo yanaitwa makombe ya mbuzi kama kinesi tu

    ReplyDelete
  3. Mbona huyo Ma-Bottle (Machupa) kwenye Moves zote anaonekana kuzidiwa?

    Na nadhani hizi ndiyo picha kali kwenye moves za Ma-Bottle mdau ameamua kututumia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2009

    Duu. Bila bila mwanangu, hizo link wameandika kiluga. Kama kichwa cha habari "Unga och gamla sida vid sida" hapo nimeelewa neno moja tu, unga tena napo sijui kama wanamaanisha sembe, kitendo cha kuunga au bwimbwi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2009

    Hata michuzi Link zake kaandika kiluga unadhani mtu ambaye sio mtanzania ataelewaje kiswahili? si ataona kama wewe unavyoziona hizo link ktk hizo link tafuta unachotaka kuona mbona mimi nimeona pamoja na hizo picha pia? au wenzetu kompyuta ni not richabo? umeambiwa hapo juu search jina Mohammed rajad,iwe hata google utaona wewe unalamika na link, hayo ni magazeti habari zinabadilika kila wakati inakubidi usearch acha kulalamika.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2009

    Umri mkubwa 37 Asichoke mchezo vijana wa miaka 20 hao sema kwa wa africa tunakuwa sawa mtu ukipata nafasi shusha tu umri hata mie nilivyojiripuwa nilishusha umri sema walishtukia vidole wakanirudisha Bongo nipo tu huku nauza duka. mkipata nafasi pigeni tu mzigo box,glass,bofyeni,uzeni sura, kazi ila msiuze unga tu madawa ya kulevya. Kimaro.

    ReplyDelete
  7. sina hakika kuhusu Machupa, ila ninavyofahamu mimi, Kali anachezea timu ya GIF Sundsvall inayoshiriki katika ligi ya Superettan. Hii ni level ya pili baada ya ligi kuu; sawa na Championship ya Uingereza au Daraja la Kwanza kwa Tanzania.

    Ukitaka tafsiri ya tovuti hizo hapo juu nenda google.com, nakili kiungo kilichotolewa kisha tafuta. Katika matokeo utakayopata, bofya "Translate this page" utapata tafsiri kwa kiingereza.

    Soma hii

    Na hii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...