Hi!
kuna kamusi ya kiswahili/kiingereza-English/swahili .
kamusi hii ni bure angalia link
byee!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2009

    MICHUZI, kwani mdau wa milion 6 kashapatikana? mbona namba haionekani tena hapo chini ya webpage, wajameni? what's wrong? right?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2009

    Mdau asante kwa hiyo link. mimi nime-download na kuinstall kwenye computer yangu, Nimeshajifunza misemo kibao hadi sasa. THANX

    Mdau chiggs, deslam

    ReplyDelete
  3. Naomba msaada wako, maana nafungua kamusi ya kiswahili, lakini haifunguki....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2009

    mbona site haifunguki?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2009

    Mbona kamusi yenyewe haina maneno mengi yaani nshaandika maneno 5 ya kiingereza na sijapata maana zake.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2009

    HOW TO INSTALL:
    Your downloaded file name "Swahilinet" edit it by adding .exe to read "Swahilinet.exe". Then double click to install...next, next tu.

    N.B: File is for MS windows only and description above is applicable on MS windows.

    I hope this will be informative.

    ReplyDelete
  7. 1,2,3 vive l'algerie.amir mjita unatisha babake naona mambo yanaenda kimataifa.big up
    vive ATSA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...