Hi!
kuna kamusi ya kiswahili/kiingereza-English/swahili .
kamusi hii ni bure angalia link
byee!
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI, kwani mdau wa milion 6 kashapatikana? mbona namba haionekani tena hapo chini ya webpage, wajameni? what's wrong? right?
ReplyDeleteMdau asante kwa hiyo link. mimi nime-download na kuinstall kwenye computer yangu, Nimeshajifunza misemo kibao hadi sasa. THANX
ReplyDeleteMdau chiggs, deslam
Naomba msaada wako, maana nafungua kamusi ya kiswahili, lakini haifunguki....
ReplyDeletembona site haifunguki?
ReplyDeleteMbona kamusi yenyewe haina maneno mengi yaani nshaandika maneno 5 ya kiingereza na sijapata maana zake.
ReplyDeleteHOW TO INSTALL:
ReplyDeleteYour downloaded file name "Swahilinet" edit it by adding .exe to read "Swahilinet.exe". Then double click to install...next, next tu.
N.B: File is for MS windows only and description above is applicable on MS windows.
I hope this will be informative.
1,2,3 vive l'algerie.amir mjita unatisha babake naona mambo yanaenda kimataifa.big up
ReplyDeletevive ATSA.