hata kama sio sikukuu ufukwe wa coco beach jijini dar hufurika wadau toka kila pembe kila jumapili wakifuata upepo mwanana wa baharini, viburudisho pamoja na michezo
wadau wa kila rika na jinsia hujaa coco beach jumapili
michezo kama huu wa kutupa shilingi kwenye sahani. ikiweza kubaki unalamba shilingi 300. unaonekana kuwa ni mchezo mwepesi lakini jinsi shilingi inavyodunda na kuruka nje ni balaa
mchezo mwingine ni kujipatia soda kwa shilingi unayonunulia hizo ringi. ukikosa umeliwa
korokoro ya pata potea pia ipo....





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2009

    ...simple life,good life...

    safi saaaaana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2009

    HERI YENU MNA BAHARI SIE TUNAANGALIA MLIMA KILIMANJARO MARA UFUNIKWE NA MAWINGU .... LAKINI TUNASHUKURU KWA KILA JAMBO

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2009

    bongo kila siku ni sikukuu wala siyo jpili tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2009

    Hapo kila mtu anakuja na mbinu ya kutengeneza pesa ila naona jiji wamelala, I guess kama kawaida yao wanangoja wawekezaji!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2009

    Na wewe Anonymous wa 10.03 am, kheli yao wakina nani? na wewe uko ndani ya Tanzania na T anzania ni yako, kama umechoka uko kukaa mimani si ushushe nawe mitaa y beach, uko Bongo, weee hujawai sikia bongo wakisema tutabanana hapa hapa, kwa kuwa kila mtanzania ana uhuru wa kuishi anapopataka. Ila usiende bongo alafu ukawe kibaka, watakumaliza,

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2009

    Nzuri na inapendenza, simple life.japo wanchi wale wa kawaida nao walau wapata nafasi za kutembelea sehemu kama hizi,nao wafuraia uhuru wa nchi yao

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2009

    kamari tu, hakuna michezo ya kupima akili??

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 22, 2009

    duh utadhani hili beach la hapa mayemi.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 22, 2009

    wabongo niwakubali! kuleni raha

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 22, 2009

    Beach la mayemi ndo lipo mkoa gani au mbeya may be Arusha au numba ya mungu kwikwikwi or u mean miami lol beach chafu kinoma city waliweke ktk hali nzuri hey kuna Green flag hapoooooo?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 22, 2009

    Mayemi ???? kama kweli upo huko basi hata hujuwi inavyoandikwa...kihiyo mkubwa weee.

    Na hiyo mamlaka ya jiji inabidi iamke...basi watu wakija na mawazo ya kibiashara hapo beach utaona walafi wooote wanakuja na huyu kodi wingine ushuru na wengi wataweka kauzibe.

    Haya nawaambia mapema mimi nakuja na kamradi kangu ka water sports...scuba, banana boats, ngamia na kazalika...anzeni kuumiza vichwa jinsi ya kunizuia.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 23, 2009

    jamani nyumbani ni nyumbani, nyie mnaojifanya mayemi cjui miami, mnajishauwa sa ingine hata kwenda hamuendi cz co kwenu, misha ya kwa watu mabaya sana..check wazawa 2navyojiachia kivyetu full raha,sasa wewe ukiangalia pembeni rangi tofauti tofati loh mna tabu,rudini hom jamani maisha hata huku yanawezekana..

    mtoto wa mkulima Tz

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 23, 2009

    wewe na wewe anonymous 10:03 am, nauli ya kuja mpaka bongo sh ngapi?cku moja moja unajitoa uje kuona bahari, utakufa haujagusa maji ya chumvi alaf unajifanya kuzaliwa Tz

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 23, 2009

    ...ni kweli wanaitaji michezo mingine ya akili zaidi...

    bongo zichemke...taratibu tutafika tu

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 23, 2009

    pamoja na starehe zote hapo coco beach, kinachoudhi ni uchafu uliovuka mipaka yaani kama hakuna manispaa zenye jukumu la kutunza sehemu hii.ukifika jumapili asubuhi kufanya mazoezi utashangaa kukuta aina ya uchafu uliofanyika jumamosi usiku,yaani condoms zilizotumika zimezagaa ufukwe mzima pamoja na mabomba ya sindano pia zimetumika! ni eneo zuri lakini halina matunzo. hata mh. mkuu wa nchi alishawambia wahusika walitunze pawe kivutio kwa wananchi badala ya mpango wao wa kuwazuiwa watu wasijidai maeneo hayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...